Mbowe anashauriwa na nani?

unaposema humtambui rais halafu ukabaki kumsikiliza, utakuwa unajichanganya mwenyewe nadhani kauli ya mwanzo ndiyo ilimlazimisha kufanya hivyo
 
Duuu, hivi ndivyo wanawachekechua akina mama wa Kuchaguliwa bungeni siyo?

Bungeni kweli KUKU jamani. Mama anaruhusu tu huko nyuma wachakachue eti!!!
Anna_Lupembe.JPG
 
Mkuu wangu tafadhali acha Udini wako....Wee unajua hapa wanafanya nini? au maadam unapomwona Sheikh Yahya basi ndio unaona raha kuendeleza ujinga wako. Mbona ya huyo Mama Rwakatare na chaguo la Mungu hatusemi ndio UCCM..

Mkandara,

Kusema ukweli suala la udini linazidi kushamiri Tanzania, na mbaya zaidi watu wanaona ni jambo la kuchezea. Kama hali aitabadilika basi taifa letu litakuwa katima matatizo makubwa siku za usoni. Ni lazima hizi mbegu za chuki za udini zikemewe kwa nguvu zote.
 
Makamba anashauriwa na Prof Maji Marefu akisaidiwa na Shekh Yahaya kama unavyomuona kwenye mapozi

Sheikh-Yahaya-Hussein-700347.jpg

Maadam hakuna Source hapo juu, labda nimulekeze tu Ndg TECHNOLOGY kwamba badala ya kupoteza muda kutaka kuwaletea Nyufa CHADEMA (Jambo ambalo halitowezekana) labda atusaidie tu kufikisha mapendekezo yetu huko ili huyu mtaala mwenzake kwenye picha apewe Uwaziri wa SAYANSI NA TEKNOLOGIA ili mambo yawe murua zaidi.
 
Mkandara,

Kusema ukweli suala la udini linazidi kushamiri Tanzania, na mbaya zaidi watu wanaona ni jambo la kuchezea. Kama hali aitabadilika basi taifa letu litakuwa katima matatizo makubwa siku za usoni. Ni lazima hizi mbegu za chuki za udini zikemewe kwa nguvu zote.
Ndugu Rufiji,'
Nadhani utakubaliana na mimi kuwa hili suala limeanzishwa na mawakala wa Kikwete. Gazeti la Rostum na Makamba ndio walikuwa wa kwanza kumhusisha Dr. Slaa na ukatoliki wake, kuvunjika kwa ndoa yake, mpaka pale Slaa alipomjibu Makamba aeleze kwa nini alifukuzwa kazi ualimu (hakuona kundule) Yule kasisi wa Pentecoastal ambaye mwanae alikuwa mwimbaji katika bendi inayoshabikia CCM nasikia alilipwa na Ikulu kuzungumzia utumbo aliozungumza kuhusu udini. Naamini kabisa kuwa njama alizotumia Kikwete 2005 kummaliza Salim ndizo hizo hizo za udini ambazo yeye pamoja na wapambe wake walijaribu kutumia 2010 kummaliza the good Doctor. Udini umeasisiwa na kulelewa na CCM. I stand to be corrected.
 
MKubwa wangu Jasusi!

Kuweka unyoofu wa habari nadhani ndani ya CCM kuna wanaoshabikia udini ila si wote. Nadhani Mh Kiwete na wapambe wake wao ndiyo wahasisi na waendelezaji wa nguvu, ari na kasi mpya udini.
 
Mkandara,
Ukiwa Canada na rafiki yako Mzungu, akaja Mzungu mwingine na kukuita NIGA, utafanyaje?

Kuna mambo mengine inabidi tu umezee na si lazima ufuatilie kila kitu maana utaumiza kichwa.

RUFIJI: Swala la UDINI linapambwa na CCM. Hakuna utakaloweza kulifanya zaidi ya kusubiri siku moja tuzichape na ndipo tutakoma. Hawa wanaotujengea Makanisa na Misikiti kila kona watakimbia haraka sana maana Wakristo taka usitake misikiti yote ya watu kama OILCOM pembeni mwa Petrostation, watakuwa target rahisi. Waislaam nao watavamia makanisa kama ya akina Kakobe, RC, Lutherani, Anglican na kuyachomelea mbali.

Viongozi wetu wanalaani UDINI kwenye mikutano ila wakitoka hapo wanaenda kusema "Slaa ametumwa na Vatican, Slaa ametumwa na kanisa la RC, Chadema ni chama cha Wakristo/Wachaga.................." Hii itaisha siku tutachinjana kama kuku. Vinginevyo basi CCM ikubali kuwa na Katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi. Takururu wasichaguliwe na Rais. Usalama wa Taifa wachaguane wao kwa wao na si Rais aende kuwaingilia. Hawa watakuwa na kazi imara kuhakikisha kila anayeropoka UDINI, wanamtunza KEKO. Tatizo sasa hivi hawawezi maana Maboss wao wenyewe ndiyo wanachakachua uchaguzi na kuyaachia haya Maovu yanayoendelea. Uzuri ni kuwa tukianza kuchinjana, na wao watakuwepo ila hao Wakubwa wao wooote watakimbia nchi kama wajenzi wa Misikiti na Makanisa.
Utaona yanatua Madege makubwa kuchukua Waarabu kuwarudisha kwao au Wazungu kuwarudisha kwao na sisi tubaki tukiuwana kwa kusema Wakristo ni ......... au Waislaam ni ................. Ngoja siku ifike ili TUKOME.

Mkandara,

Kusema ukweli suala la udini linazidi kushamiri Tanzania, na mbaya zaidi watu wanaona ni jambo la kuchezea. Kama hali aitabadilika basi taifa letu litakuwa katima matatizo makubwa siku za usoni. Ni lazima hizi mbegu za chuki za udini zikemewe kwa nguvu zote.
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Tusipoteze mwelekeo. Kwanza sijui taarifa zako umezipata wapi. Hata kama Mbowe kama unavyodai wewe ndio alikuja na wazo la kugomea speech ya Kikwete, hatimaye wabunge wa CHADEMA walipiga kura na wengi wakashinda kuwa wamgomee Kikwete. Baada ya hapo ukawa sasa ni uamuzi rasmi wa chama na si wa Mbowe au mtu mwingine yeyote.

Mbona kwenye kamati kuu ya CCM kina Membe, Kinana, Chiligati na wengine walipinga Samuel Sitta asifukuzwe kama spika lakini wakazidiwa na wale waliotaka Sitta afukuzwe akiwemo Sophia Simba na wengineo. Baada ya hapo ukawa ni uamuzi wa Kamati Kuu kumtema Sitta.

Tuwe makini kwenye hoja zetu, tuache ushabiki wa personalities na kujaribu kupotosha mambo.

Uamuzi wa kumgomea Kikwete hatimaye ulikuwa ni uamuzi wa CHADEMA kama chama baada ya kujadiliwa na kupigiwa kura.

Wale ambao walipinga uamuzi huu ndani ya vikao vya CHADEMA walikuwa na haki ya kidemokrasia kufanya hivyo. Kujitokeza hadharani baada ya uamuzi wa chama kupitishwa na kujidai eti wao hawakubaliani na uamuzi wa chama ni utoto, utovu wa nidhamu, gross insubordination na usaliti kwa chama.
 
Huyo ***** hana evidence.......usiongee pumba.....nadhan mpaka sasa umeshajua kwann walitoka na matunda yake....!
 
Mkuu wangu tafadhali acha Udini wako....Wee unajua hapa wanafanya nini? au maadam unapomwona Sheikh Yahya basi ndio unaona raha kuendeleza ujinga wako. Mbona ya huyo Mama Rwakatare na chaguo la Mungu hatusemi ndio UCCM..

Kuwaambia chadema waache udini ni sawa na kumwambia nguruwe asifukue mihogo.

Jiulize, kwanini wanasumbuliwa na sheikh Yahaya kuwashauri CCM? (if indeed that is true)

When we all know that sheikh Yahaya has always been a very succesful and high profile businessman with a proven track record of entrepreneurial skills. So what disqualifies him from advising government officials? Simpo, he is not a doctor of theology (ukiristo); neither is he a brainwashed, suit wearing twat who confuses westernisation with civilisation.
 
Sidhani kama uko sahihi, this is very low statement from you to generalize kusema CHADEMA ulichokiandika. Sidhani hata kama unajua maana ya udini.
 
Eti Sheikh Yahya "has always been a very succesful and high profile businessman with a proven track record of entrepreneurial skills." Sheikh Yahya yupi unayemzungumzia weye? Mpiga ramli ambaye hata anashindwa kujigharamia matibabu nje ya nchi mpaka kuomba msaada kutoka kwa Kikwete na wateja wake wengine? Please be serious. Hakuna ufa wowote wa udini uliopo Tanzania. Suala la udini limeibuliwa na Kikwete na CCM ili kujaribu kukipaka matope CHADEMA. Na hii sumu ya udini inayoenezwa na Kikwete na CCM itaishia kuwatafuna wao wenyewe.
 
Sidhani kama uko sahihi, this is very low statement from you to generalize kusema CHADEMA ulichokiandika. Sidhani hata kama unajua maana ya udini.

Masanilo, mumeongelea suala la udini kuwa linachochewa na JK na wapambe wake. Mmesahau kugusia kuwa CCM ndiyo hao walioingiza kwenye ilani ya uchaguzi ya 2005 iliyomweka Kikwete madarakani suala la mahakama ya kadhi ambao linahusiana na imani ya kiislamu. Nani asiyeelewa kuwa mahakama ya kadhi inaamua kuhusu mfungo wa Ramadhani. Mahakama ya kadhi na mambo ya hija, mirathi inayohusiana na imani ya ndoa za kiislam, haya ni mambo mazuri ya wenye dini husika lakini CCM wakalibeba eti nchi nzima ihudumie mahakama ya kadhi kwa kodi ya watanzania wote. Hii ndilo jaribio la kwanza baya sana la CCM kuingiza udini wa waiwazi kwenye siasa za nchi yetu. JK amendeleza wakati wa kampeni zake udini kwa kutumia magazeti ya Rostam na Habari leo. CCM na mtandao wa JK ni wadini sana, wanatuharibia nchi yetu kwa tamaa ya madaraka. Na nakuhakikshia, urithi wa Kikwete kwenye uongozi wake ni kuwagawa watanzania katika misingi ya ubaguzi wa kidini kwa sababu ya tamaa ya madaraka
 
Asanteni wakuu kuna Watu wanaadika ujinga halafu wanasubiri kushangiliwa!
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Labda ni mam.... yako.
 
Maadam hakuna Source hapo juu, labda nimulekeze tu Ndg TECHNOLOGY kwamba badala ya kupoteza muda kutaka kuwaletea Nyufa CHADEMA (Jambo ambalo halitowezekana) labda atusaidie tu kufikisha mapendekezo yetu huko ili huyu mtaala mwenzake kwenye picha apewe Uwaziri wa SAYANSI NA TEKNOLOGIA ili mambo yawe murua zaidi.

Naibu wake awe Prof. maji marefu. Kazi kubwa ya wizara hiyo itakuwa ni pamoja na kudhibiti viongozi wa chama kudondoka dondoka majukwaani.
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Makamba nani anamshauri?
 
Kuwaambia chadema waache udini ni sawa na kumwambia nguruwe asifukue mihogo.

Jiulize, kwanini wanasumbuliwa na sheikh Yahaya kuwashauri CCM? (if indeed that is true)

When we all know that sheikh Yahaya has always been a very succesful and high profile businessman with a proven track record of entrepreneurial skills. So what disqualifies him from advising government officials? Simpo, he is not a doctor of theology (ukiristo); neither is he a brainwashed, suit wearing twat who confuses westernisation with civilisation.

Na CCM kuacha udini na ukabila ni sawa na nini? Peleka pumba zako kwa mamako nyaambaf!!!
 
Back
Top Bottom