Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

Sometime you wonder if JK know his postion is about Decision Making and not Decision Supporting.

While great thinkers wengi humu tilimjua na kumjadili January makamba mtu amabye ni mdogo na hakuwa na role nyeti sana .Naona tuwafukue na tuwajue watu muhimu walioko nyuma ya pazia . Nani ni mshauri wa JK ikulu kwenye mambo ya

  • Uchumi,Uwekezaji,
  • Nishati,Mawasiliano(ICT),miundombinu
  • Viwanda , na biashara
  • Elimu
  • Afya
Mawazirini political sasa tuwajue wataalawa mambo haya amabo wako karibu na mkuu. Tujue wanasimaia upande ganiwa fani zao.
 
Kweli haya ni maajabu, na inauma sana rohoni, yaani JK ina maana mpaka sasa anataka kutuaminisha kuwa hawajui wamiliki wa Dowans? basi kama ni kweli ina maana nchi inatawaliwa na watu wawili tofauti, that means hana mamlaka halisi ya kutawala
 
Dr.wa ukweli yupo sahihi, nami namuunga mkono,mimi milishangaa sana nilipomsikia huyu Rais JAKALAUNT KIKWEBAGBO,eti anaunda tume, ambayo itawajibika kwanani,kama si kwake.Huyu jamaa tumsamee bure maana sijui huwa washauri wake ndo hao wenye degree,master and PHD feki,i real don.
katiba ni ya Watanzania ,serikali inatakiwa tu ishirikishwe kama mdau mojawapo mkuu lakini sio kuunda Tume.
shime watanzania msikubali hiki ni kiini macho.Hivi katika hali ya kawaida mtu aliye tuhumiwa na DR.hosea kuwa anawalinda mafisadi kweli anaweza kuweka mazingira huru ya uundwaji wa katiba? ambayo anajua itambana pindi ikipitishwa?.
HAPA NDIPO NAKUMBUKA WINBO WA KIUNAHARAKATI WA MRISHO MPOTO,na kujiuliza je kweli viongozi hao hao wa chama kile kile waliotenda hayo wanadhubutu kutuaminisha umma kuwa wanahitaji katiba mpya? kwa maslahi ya nani? wameshatosheka kula wao ndugu, jamaa na marafiki zao, labda wamemrudia MUUMBA wao.otherwise hiki ni kiini macho.ngoja tusuburi tuone huyu msanii wetu,albam yake hiyo ya katiba mpya itakuwa na nyimbo gani,vina mistari na chorus aina gani?

Huu ndio ujumbe na tafsiri ya ;kasi zaidi,hari zaidi na nguvu zaidi,
tegemeeni mabaya zaidi kabla hajamaliza muda wake,

eeemungu uliye juu tusaidie tanganyika yatu irudie maadili ya wazee wetu
 
Dr. Slaa bado nitakuita man of the year,

Hili sakata linajulikana na wengi ndani ya CCM lakini walisita kujitokeza wazi kulikemea, ila tunakoelekea ukizingatia na machungu ya ongezeko la gharama za umeme wataliweka wazi, walio karibu na SS na Mwakyembe wanaweza kutueleza zaidi. Kama rais anahusishwa na kashfa kubwa kama hii kwa nchi masikini kama yetu hata kama haijathibitishwa ni embarrassment kubwa kwake.

Wabunge wa upinzani mnafika 20% kama kanuni inavyosema ni kiasi cha kupeleka hoja bungeni ya kutokuwa na imani naye ijadiliwe hata kama wakati wa kupiga kura utakapofika msifikishe hiyo two third ya kura still mtakuwa mmewaonyesha watanzania nia yenu ilikuwa nini and he will not be the same again hiyo move itakuwa sawa na mwendelezo wa walkout. Kuna mtu alisema simkumbuki JK hatamaliza kipindi chake i think he might be true.
 
Ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi
hii ndio maana ya yanayotokea sasa na kuna mabaya zaidi tunayategemea

eee mungu uliye juu zaidi ya vyote utusaidie tanganyika tujitambue mapema kwa ujumla wetu tupate ukombozi wa kweli
 
Mi najiuliza hivi ni lini mkwere ataamka na kufanya maamuzi mazito peke yake kama viongozi waliotangulia? Mbona Mkapa yeye alifanya ubunifu katuachia kiwanja kizuri cha football!!!
Hivi vi miradi vidogo vidogo vya umeme kama Kinyerezi (MW 240) Somanga Fungu (MW 230), Mtwara (MW 300). Kiwira MW 200 na umeme wa upepo singida. Hivi ndo vinazidi kuongeza upenyo wa ufisadi maana hapa lazima majenereta feki yaendelee kununuliwa. Kuna baadhi ya viongozi tayari wana hisa kwenye hivi vimiradi kama vile mwakyembe ana hisa kwenye mradi wa umeme wa upepo singida. Sasa najiuliza kwa hali hii si tayari viongozi washafanya hii miradi ya umeme kua ni sehemu yao ya kula??
Kwa nini asijenge mradi mkubwa
kama ule wa Stigler`s Gorge
ambao utamaliza shida zote?
 
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.
Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.
This is disgusting!! Hivi mtaacha lini huu upuuzi wa uvunjifu wa amani? Sasa mvunja amani hapa ni yupi mwizi anayetuibia au anayepiga ukunga kutuonyesha mwizi wetu ni yupi? Ebu use your common sense !! does it make sense to you mtu mpaka leo kukwambia serikali haijui Kagoda ni nani lakini inakubali kuwa BOT ilitoka billioni 40? Zilikwenda kwa nani ati serikali haijui!! wanasema hawajui mmiliki wa DOWANS na RICHMOND lakini leo wanasema tuwalipe sasa tunamlipa nani? Kwa maana hiyo anachosema Dr. Slaa kina matinki this is an open secret!! Kama wanasema hawajui wamiliki na kama wamiliki siyo wezi ambao dhamira zao zinawasuta au kwa sababu ya public office wanazokalia sasa , kwa nini wasijitokeze waziwazi!! hivi wanaona aibu gani kama walifanya a genuine investment wakaagiza mitabo genuinely leo hii kwa nini tuwe tunazungumza na vivuli? why mtu asisimame na akatwambia kuwa hii ni mradi wangu halali na hivi ndivyo nilivyofanya na TANESCO wakanifanyia huuni nami nikaenda mahakamani bra bra.. sidhani kuwa ni kosa la jinai kusema wewe ni investor!! sasa kwa nini wamiliki wanakuwa siri ? Jibu ni rahisi ama ni wezi wanaoona aibu kuja adharani au ni mradi wa wakubwa ambao kwa nyadhifa zoa serikalini zinawafanya wasijitokeze ,hivyo basi Dr Slaa kuwataja siyo uvunjifu wa amani bali hao wezi wanaofanya wizi wa makusudi ndiyo wanataka kuvunja amani ya Tanzania .HUWEZI KUWA NA AMANI KAMA HAKUNA USAWA NA HAKI.
 
Whatever it is! this is a starting point.. you never know some people might bring evidence, but is a good start.... we shake him , others will fall down!

Kwa strategy hii issue nzima, issue nzima imekuwa dead on arrival. Mwishowe mropokaji atajulikana.... na wananchi tutampiga chini jumla.

JF ushabiki umezidi hata watu wanasahau kwamba hii ni political game. Deep down Slaa anajua ukweli halisi.
 
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.

Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.

Dar es Salaam be consistent in putting your points. Eleza kama siyo kweli kuwa ni serikali ya JK ndiyo iliasisi na kuendeleza kashfa ya Richmond na Dowans. Eleza kama si kweli mkataba mbaya kabisa wa kwanza wa IPTL haukusainiwa na JK akiwa waziri wa madini na nishati? Eleza kama si JK ndiye aliyesaini mikataba ya uchimbaji madini na makampuni ya Sutton Resources kule Bulyanhulu na Afrika Mashariki kule Nyamongo Tarime, halafu leo kwa nia ya kujifanya yeye ni mtu mzuri kwa watanzania, anasema mikataba ya madini siyo mizuri. Eleza kama si chini ya serikali ya JK, makandarasi wa mataifa ya nje wa kuchimba dhahabu katika migodi karibu yote ya Tanzania wameondolewa na kazi hiyo kupewa kampuni ya rafiki yake RA (Caspian) kwa kisingizio kuwa ni kampuni ya kitanzania.

Au umeamua kuwa mtu uliyeamua kufumba macho na masikio, na kuendelea kuimba wimbo wa JK na CCM ni nzuri hata kama wakifanya uchafu wa kila aina. Mazuri machache waliyofanya J na CCM hayalingani maovu mengi waliyoyafanya dhidi ya Watanzania. Fikiria ustawi wa Taifa kwa vizazi vya sasa na vya kesho kuliko kuweka ushabiki usikokuwa na cha kuegemea.
 
unavyotamka bila kufikiria utadhani hulipi kodi.kama unalipa kodi then inabidi ujumuike ktk harakati maana kodi yako pia imo ktk mabilioni yanayotafunwa na hao dowans wasiojulikana hata walipo......"Daah jk raia 2mekukosea nini mpaka umefikia huko?"!!!

Waarabu kama Dar Es salaam huwa hawalipi kodi.
 
Wanafika lakni ili wabunge wa CCM waiunge mkono ni lazima ipate msukumo wa wapigakura..................wananchi wakianza kudai maandamano ya kumng'oa JK itafika wakati hata wabunge karibu wote wataiunga mkono hoja hiyo..................na hapo Jk atalazimika kujiuzulu mwenyewe...........Nionavyo mimi huko ndiko tunakoelekea............

Nchii haiwezi kuvumilia ufisadi mkubwa ambao JK anauendesha....itafika mahali itabidi hili zigo tulitue tu hatuna namna..............na haitachukua miaka miwili kuanzia sasa.............

Hamna sababu ya kusubiri CCM waunge mkono ni kupeleka hoja then waikatae, wakiikataa tunapeleka kwa wananchi, ila hofu yangu ni CCM -B watakubali?
 
Mkuu kuwa mwangalifu na statement ya Dr Slaa. Kama umesoma vizuri gazeti la Tanzania Daima hakusema mwenye Dowans ni JK bali kasema ni sehemu ya Dowans sasa tuweni waangalifu na statement hizi. Nilikuwapo!!!
 
kesi za uchaguzi zitapigwa danadana weeeeeee MPAKA BASIII maana wanajua uchaguzi wa jimbo lolote ukirudiwa CHADEMA HAWAKAWII KUMtUmBUKIZA slaa BUNGEN........BUNGE LA SAFARI HII NI TAMUUUUUU MPAKA BASIIIII MAANA KUNA VIJANA WAMEINGIA NDAN KWA KUPIGWAAAAA NA POLISI WEEEEEE MPAKA BASIIIII......KILA KITUO WANAKIJUA NA HAWAOGOPI KULALA NDAN...SIJUI KAMA WATAOGOPA KUPIGANA NA WENZAO WA CCM WASIO NA MIKONO.....NA VILE VITI KAMA WACHINA HAWAJAVIFUNGA VIZURI VITANG'OLEWA APIGWE MTU KICHWAN MAANA KUNA WABUNGE WA CCM WANAMIDOMO MNO
 
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.

Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.

Kanisa lipi?

Juha mkubwa wewe!!
 
Back
Top Bottom