Hakika historia ya Tanzania imefichwa na inahitaji magwiji wa historia kukaa, kufanya utafiti na kuiandika upya. Mfano, tunapoambiwa kuwa Tanzania ilipata uhuru 9-12-1961 HII SI KWELI. Ni upotoshaji wa makusudi kabisa wa historia. Siku hiyo ilikuwa ni uhuru wa Tanganyika.
Pia historia ya uhuru wa Tanganyika inasisitizwa zaidi kuanzia mwaka 1954(ilipozaliwa TANU), nao ni upotoshaji wa makusudi. Nikiwa mzalendo na msomi wa kiwango cha kawaida kabisa, ningependa kujulishwa kwa nini historia haielezi nafasi ya dini zetu(UISLAM na UKRISTO) katika kupigania uhuru wa nchi yetu!!! Mfano, mchango wa UISLAMU na WAISLAMU ktk kupigania uhuru wa Tanzania ni zaidi ya 75%. Vita vya MAJIMAJI viliongozwa na WAISLAMU ambao ni Chifu SONGEA BIN RAUF na KINJEKITILE NGWARE. Pia wapo akina BWANA KHERI, ABUSHIRI BIN SALIM EL-HARITH kwa upande wa kaskazini. Katika mkoa wa Iringa yupo Chifu MKWAWA ambaye nae ni muislamu(mjukuu wake Adamu Sapi Mkwawa ni muislamu). MIRAMBO na ISIKE.
Katika zama za kati miaka ya 1940-1950s wapo akina MZEE BIN SUDI, ABDULWAHID SYKES, DOZA AZIZ, TEWA SAIDI TEWA, SULEIMAN TAKADIRI, AHMED RASHAD, MSHUME KIYATE, HAMIS DIWANI, SAADAN ABDU KANDORO, ALI MANENO, ZUBERI MTEMVU,IDDI FAIZ, RAJAB DIWANI, BIBI TITI MOHAMED, RAMADHAN CHAUREMBO, HAIDAR MWINYIMVUA etc

- Mbona wamesahaulika? Wamesahaulika kwa makusudi au ni bahati mbaya?
- Mchango wa makanisa ktk uhuru wa nchi yetu ni upi?
- Mbona jamii ya kiislamu nchini ipo nyuma, nini kimesababisha hali hii?