Kwa wana CHADEMA tu!

All the best,

Najua wale wa dini ile watakuwa wameumia ukipata..michango yako JF mm!

Hata hivyo sisi underground tukikushtukia siku zako zitakuwa chache

Si unajua mambo ya kandahar

Tanzania hatuwezi fika Kandahar maana sisi tumechanganya sana ndo maana nimeweza pata mke Mzenj
 
Masanilo naamini umekua humu jamvini kwa muda mrefu so sina shaka na wewe hata ungekua chama gani....Just go on bro Tanzania we need changes!!
 
Mchungaji,

Huo mkakati wa kuwageuza wananchi omba omba umekaa ki-CCM zaidi. Hakika siwezi kukuunga mkono (ingawa pia siwezi kukuzuia) kwa mkakati wa kutoa pesa tu na vitu ambavyo wewe mwenyewe unajua siyo sustainable, ni rushwa na hujatueleza umevipata wapi. Pia hujatwambia returns za hiyo project zitakuwa zipi.

Ubarikiwe sana katika nia yako hiyo!
 
Nina lazimika kuweka bayana nia yangu ya kukomboa jimbo uchaguzi mkuu ujao. Nina amini raisi bora atatoka chama cha upinzani. Ni muda mrefu CCM wamekuwa madarakani lakini maendeleo ya nchi yazidi kushuka. Ufisadi usio na kina unazidi kushamili, rushwa na kupotea kwa utaifa vinazidi kushika kasi. Mikakati yangu ni kuimalisha CHADEMA kwa ngazi ya Kaya kwa kaya. Jimbo langu lina kata 17, Sekondari za Kata 4, seminary secondary school 1, shule 2 za serikali za sekondari. Hizi shule nitazitembelea na kuwapa misaada ya hali na mali ikiwa ni pamoja kujitolea kufundisha ili nifahamike zaidi kwa wanafunzi ambao ndiyo wapiga kura 2015 hasa elimu ya uraia.

Nitaanzisha mashina ya chama kwenye kata zote 17, nitawezesha wapatikane watendaji kwenye kila kata na kufungua ofisi pamoja na kununulia baiskeli viongozi wote 17. Nitatoa ujila walau kila mwezi wa Shs 10,000 kwa kila kiongozi. Ni hela ndogo ila uwezo wangu si mkubwa na mimi si fisadi. Kila mwaka kutakuwa na mashindano ya kugombea Ng'ombe na jezi kwa vijana football na Netball. Mashindano ya mbio riadha na baiskeli. Ninaandaa manifeso ya uchaguzi ujao nikilenga matatizo ya wananchi wangu na sulihisho zake, sitoweka hapa JF maana najua itanakiliwa na CCM na kurudifiwa.

Ninampango wa kuwasiliana na Makao Makuu ili kadi na viongozi wa juu wa chama waanze kampeni mapema kuandaa wananchi wangu kulinda kura zitoshe 2015.

Pipozi powa! Peoples Power ! Tanzania is for Changes

Rev Masa K

Wewe wala hufai kuwa kiongozi, ile kesi yako ya wizi wa kughushi imeisha isha ? ule ubadhirifu wa pesa ya shule uliyochangisha kamati ya shule umeisha zilipa ?
 
Hahahahah haya mkuu! Nadhani umeposti kwenye wrong forum
 
Nina lazimika kuweka bayana nia yangu ya kukomboa jimbo uchaguzi mkuu ujao. Nina amini raisi bora atatoka chama cha upinzani. Ni muda mrefu CCM wamekuwa madarakani lakini maendeleo ya nchi yazidi kushuka. Ufisadi usio na kina unazidi kushamili, rushwa na kupotea kwa utaifa vinazidi kushika kasi. Mikakati yangu ni kuimalisha CHADEMA kwa ngazi ya Kaya kwa kaya. Jimbo langu lina kata 17, Sekondari za Kata 4, seminary secondary school 1, shule 2 za serikali za sekondari. Hizi shule nitazitembelea na kuwapa misaada ya hali na mali ikiwa ni pamoja kujitolea kufundisha ili nifahamike zaidi kwa wanafunzi ambao ndiyo wapiga kura 2015 hasa elimu ya uraia.

Nitaanzisha mashina ya chama kwenye kata zote 17, nitawezesha wapatikane watendaji kwenye kila kata na kufungua ofisi pamoja na kununulia baiskeli viongozi wote 17. Nitatoa ujila walau kila mwezi wa Shs 10,000 kwa kila kiongozi. Ni hela ndogo ila uwezo wangu si mkubwa na mimi si fisadi. Kila mwaka kutakuwa na mashindano ya kugombea Ng'ombe na jezi kwa vijana football na Netball. Mashindano ya mbio riadha na baiskeli. Ninaandaa manifeso ya uchaguzi ujao nikilenga matatizo ya wananchi wangu na sulihisho zake, sitoweka hapa JF maana najua itanakiliwa na CCM na kurudifiwa.

Ninampango wa kuwasiliana na Makao Makuu ili kadi na viongozi wa juu wa chama waanze kampeni mapema kuandaa wananchi wangu kulinda kura zitoshe 2015.

Pipozi powa! Peoples Power ! Tanzania is for Changes

Rev Masa K

kwanza, nakupongeza mchungaji kwa hatua ambazo unataka kuanza kuchukua, hongera sana kwa hilo. Pili, napatwa na wasiwasi ikiwa kweli utaweza kuingia darasani na kutoa elimu ya Uraia kwani sijui keyboard yako haina herufi *r* au vipi! Maneno Kushamili, kuimalisha, na ujila yanathibitisha utafundisha Ulaia na Haki za Mpiga Kula...
 
Kufundisha huwezi, utatuharibia watoto wetu - mahali pa kufundisha r utawafundisha l.

Wewe endeleza tu siasa za maji taka, ndizo unazoweza.

Pole.
 
kwanza, nakupongeza mchungaji kwa hatua ambazo unataka kuanza kuchukua, hongera sana kwa hilo. Pili, napatwa na wasiwasi ikiwa kweli utaweza kuingia darasani na kutoa elimu ya Uraia kwani sijui keyboard yako haina herufi *r* au vipi! Maneno Kushamili, kuimalisha, na ujila yanathibitisha utafundisha Ulaia na Haki za Mpiga Kula...

Sijui kuna MwanaJF gani humu anaweza kusema yuko fit 100% kwenye lugha iwe kiswahili au kingereza maana zote sio lugha zetu za kwanza.
Niliwahi kumsikiliza mwalimu wa Tony Blair (former UK Premier) alisema "Tony had a problem in writing the word - Tomorrow"! Something which was supported by the then Blair's aides kwamba he doesnt remember whether the word has double 'm' or 'r'. Pamoja na hayo Je, nani asiyejua kwamba Tony ni kichwa cha ukweli????
Ama hujawasikia watu wa pwani (wenye kiswahili) wakitamka "selasini" badala ya thelathini??

Ninaamini unapokwenda kufundisha utakuwa umejiandaa na kwa maana hiyo makosa ya kimsingi yatakuwa machache.
 
tatizo ukiukwaa ubunge ,utahakikisha hiyo hela yote inarejea tena kwa haraka,tunza hesabu zako vyema,maana kama unataka kutowa na kusaidia kwanini usifanye kama Sombode ,badala yake unaweka mikakati ya kugombea ,aloo hii ni hatari ,na kama ukichimba sana inaonekana kama unatanguliza rushwa !!
 
We need more than 200 people with mind like u, wengine hatutaweza kufanya kama utakavyofanya, lakini michango yetu ya kimawazo au kifedha tutaitoa kwa watu design yako wenye nia ya kutupeleka mbele kimaendeleo. I salute you mkuu
 
tatizo ukiukwaa ubunge ,utahakikisha hiyo hela yote inarejea tena kwa haraka,tunza hesabu zako vyema,maana kama unataka kutowa na kusaidia kwanini usifanye kama Sombode ,badala yake unaweka mikakati ya kugombea ,aloo hii ni hatari ,na kama ukichimba sana inaonekana kama unatanguliza rushwa !!

Mwiba

Kimtazamo mkuu inaonekana kama ninafanya rushwa ila nafasi yangu haiko hivyo. Sambode ni mfano wa kuigwa mimi siko level naye. Asante kuchangia
 
Ngh'wana Makanza!

Nakushukuru sana, Wasukuma wameamka sana kisiasa hawataki porojo! Ndo sababu nimeazimia kuboresha maeneo ya kule kwetu kwa kutumia malighafi watu na vitega uchumi vilivyo ndani ya uwezo. Tokea mwanzo sera zangu ni kuwapa mbinu waweze kuwa na maisha bora. Kofia na Tishirt baada ya miaka 5 hakuna tija. Nina utaalamu wa kufyatua na kuchoma tofari Thanks to National service 1991-2. Nitashirikisha wananchi tubadili nyumba zao kwa nguvu zao. Kama unawo anuwai kuhusiana na maeneo ya kule kwetu basi wewe ni PM

Masa K
Hii nimeipenda ukiwa tayari mkuu tujulishe, juzi nilikuwa huko jamaa wana shangaa kweli juu ya ushindi wa JK, ingawa wengi hawajui hata wako mkoa gani....
 
Rev huitaji kufanya yote hayo ili upendwe........wananchi wameshakuona mda mrefu na wanakujua ulivyo ivyo subiri hatma yako.........inaweza kuwa nzuri au mbaya kutegemeana na unayoyafanya kila siku ukiwa uko.......Tenda mema nenda zako na bwana atakuongezea..........labda wachakachue maana shetan nae ana nguvu!
 
Biashara asubui jioni mahesabu, namkumbuka mbunge wa Mvomero, yeye baada ya uchaguzi wa 2005, ambapo yeye alikuwa kada na mweka hazina wa chama chao,sasa akawajimboni mle akiwasaidia mambo mbalimbali wananchi wa pale huku mbunge wao kipindi hicho bwana Muradi hana habari anakula maisha Daslamu! mwisho wa siku zilipopigwa kura za maoni Mbunge wa sasa hatahakuwa na kazi kubwa, maana tayari alitumia miaka mitano kujijenga na kutafuta imani ya wananchi.
Muradi hakuambulia hata robo ya kura za mbunge wa sasa.
 
Wazo zuri Rev Masanilo kila la heri najua wapo wengi wameamua kufanya kama wewe usemavyo hapa
 
Back
Top Bottom