Kwa mujibu wa HESLB, wanafunzi takriban elfu 37 (37,000) wanastahili kupata mkopo mwaka huu. Bodi ina uwezo wa kuwalipia wanafunzi takriban elfu 24 (24,000). Wengine wote waliobaki, yaani 37,000-24,000=13,000 hawatapata. Hakika huu ni utani.
Kwa taarifa ambazo sijathibitisha, Mke wa RIDHIWANI...