Mimi nadhani hasira zetu hazijaelekezwa mahali sahihi. Maana walipokufa watu Gongo la Mboto, Mbagala, watoto 21 pale Tabora tena siku ya Idi ni wachache wetu tuliona jambo hili. Miss Tanzania wangeacha kufanya show kungetufanya tujisikie vizuri kidogo lakini kusingeondoa ukweli kuwa tatizo ni serikali na mfumo wake uliopo. Wanaotakiwa kukatyaliwa na kuadhibiwa ni serikali ya CCM na watendaji wake.
Hivi serikali ilitangaza saa ngapi kuwa taifa limeanza maombolezo ya siku tatu maana wengine wamehesabu siku za maombolezo kuanzia leo Jumapili na siyo jana Jumamosi.
CCM, CCM, CCM, CCM..... I'll say it again...the culprit here is CCM!!
UJAMAA NA UPEBARI ni vitu viwili tofauti, siasa za ujamaa zainajali UTU.....tumeingia wenyewe kwenye ubepari ambapo faida ina nafasi kubwa kuliko utu twalaumu....VODACOM...si wa kulaumiwa pekee,wadhamini wengine walikuwepo kama ...
NAO WANA NAFASI, WASHIRIKI NYIE MWAITA WALIMBWENDE.....WAPO WALIOTOA GARI LA MILIONI 80.....WHY VODA PEKEE?
TBC.... kama chombo cha habari lazima kikusanye taarifa iliyokamilika na kuirusha hewani,hawawezi kurusha TETESI NA UVUMI....when we judge them we have to be fair enough
Huyo ndo zitto mnafiki wa kweli! ukimfata unauvaa mkenge. anailaumu vodacom na miss TZ bila kusema chochote kuhusu chama cha magamba kuendelea na fiesta igunga siku hiyo hiyo tena mapema zaidi kuliko muda ilipofanyika miss tz. sijui kwa nini taarifa ya zitto haijagusa kabisa fiesta ya ccm pale igunga, anaficha nini? anamlinda nani? ana maslahi gani ccm? unafiki. huyo ismael jissu hukumuuliza wakati wanafunzi wanakufa maji sengerema na mabomu yanaua watu gongo la mboto tvz ilikuwa inarusha kitu gani? we nee
In theory usemayo ni sawa, lakini lazma utambue sisi ni nchi maskini. Wananchi wengi hawalipi kodi na mapato ya serikali ni kiduchu, sasa huezi kutegemea TBC1 itume chopper, huku ndio kuwa out of touch kwenewe.Yote uliyosema sawa isipokuwa kwenye red, mbona kwenye issue za kupalilia magamba TBC hutumia resources nyingi sana, ilishindwa vipi kumlipia mwandishi mwenye camera nauli ya flight hadi zbar kutujuza on the spot assesment. Nakumbuka MV Victoria ilipozama BBC walikodi charte flight kwa correspondent wao wa Nairobi kuja Mwanza na ndiye aliyepiga ile picha inayoonyesha "tip of the ship when descending" BBC waliiuza hiyo picha ulimwengu mzima. Haya mamabo yanahitaji creatiuvity tu kama wanavykuwa creative kuwaponda wapinzani na kuipalilia magamba.
Mkuu hiyo ilitokea lini?Yote uliyosema sawa isipokuwa kwenye red, mbona kwenye issue za kupalilia magamba TBC hutumia resources nyingi sana, ilishindwa vipi kumlipia mwandishi mwenye camera nauli ya flight hadi zbar kutujuza on the spot assesment. Nakumbuka MV Victoria ilipozama BBC walikodi charte flight kwa correspondent wao wa Nairobi kuja Mwanza na ndiye aliyepiga ile picha inayoonyesha "tip of the ship when descending" BBC waliiuza hiyo picha ulimwengu mzima. Haya mamabo yanahitaji creatiuvity tu kama wanavykuwa creative kuwaponda wapinzani na kuipalilia magamba.