Naomba ufafanuzi wa neno the board has appelate powers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ufafanuzi wa neno the board has appelate powers

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Malboro, Mar 5, 2012.

 1. M

  Malboro Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF hasa wale wenye utaalamu wa sheria, naomba msaada wenu wa neno tajwa hapo juu yaani tafsiri sahihi au maana ya neno APPELATE POWERS ni nini? Asanteni sana
   
 2. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nguvu au mamlaka ya kisheria ya kusikiliza rufaa
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Appelate=> Appellate. So "appellate powers" ni kama alivyoeleza mdau hapo juu. Au wakati mwingine "appellate jurisdiction" linaweza kutumika kuashiria maana hiyohiyo.
   
Loading...