Prof. KIKULA atoa mpya

Yanayoendela UDOM ni fedheha sana .Hata zile ndito kuwa kitakuwa chuo cha mfano East and Central Afrika haziwezi timia kwa mpango huo.Wasomi wanaoendesha mambo kwa hulka za kisiasa kama Prof Kikula ni wakupuuzwa na historia itawasuta.
 
Kama Prof. na VC anatoa statement ya udini kama hiyo basi tunahatari na huko tuendako. Inabidi athibitishe na akishindwa ajiuzuru nafasi ya uVC
 
Hizo zote ni njama za CCM,mbona Rosam aziz,Ridhwani Kikwete na kikwete mwenyewe walivyomwaga mamilioni kwa Bashe ili kuwania urais wa federation hawakulizungumzia? Vikao vya waislam seminar rooms za education muda wa saa saba na tisa kupanga mikakati ya kupata urais ili watumie pesa za wanafunzi wanazolipa kujengea msikiti Nghonghona hawajalizungumzia? Suala la wale ma-ustadhat waliomchoma na pen,kumpiga mawe Ferdinand wa college of education mbona walikuwa kimya? Hawakuliona hilo? Suala la Kikula kuchelewesha kukamatwa kwa waliohusika kumpiga Ferdinand hadi amri ilipotoka kwa mkuu wa polisi,inakuwaje hapa kama si hata viongozi wa chuo wenyewe kuunga mkono UDINI? Mwisho chunguza ajila nyingi za UDOM,fanya tathmini,waislamu ni wengi kuliko wakristo,ina maana wakristo hakuna walio-qulify? Waache watege mabomu ambayo mwisho yatawalipukia wenyewe,mwisho UDOM MSIINGIZE SIASA KATIKA ELIMU,FANYENI KAZI MSIFUNGAMANE NA CHAMA CHOCHOTE,TUWE INTELLECTUALS NA SI KU-SAVE THE INTEREST OF GOVERNMET.

Mkuu tena kile kikao kilichofanyika college of education kulikuwa kuna Cd kabisa wadau walikuwa nazo jamaa waliongea mambo ya kipuuzi sana lakn Mungu alisaidia walishindwa!
 
cku zote m2 wa majungu hafanikiwi, pia wana mashaka na elimu zao ndo maana wanataka madaraka kwa nguvu waksambaza cfa mbaya ili wao waonekane wema ila Mungu n mwema na ataonesha njia kwan hana upendeleo na ubariki patakatifu. Kashfa zao hao hazna faida na daima watazd kuwa chini 2. Wasomi weng wanajulikana n kna nan so hakuna aja ya kuwajbu hao vchwa maji watabak kuongozwa 2
 
Ni vigumu kuamini kama kauli hiyo ilitolewa na Profesor.Mtu ambaye ana heshima kubwa kwa uwezo wao wa kufanya mambo kwa kutafakari kwa kina.Siwezi kuamin kama kweli alifikiria kabla ya kuongea.

Hivi kauli yake haoni kama ni ya uchochezi katika vita vya udini?Je ana vielelezo vyovyote kuthibitisha kauli yake?

Kikula,umewekwa chuoni si kuzungumzia mambo ya udini bali kuongoza chuo katika misingi iliyo sahihi kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla.Huyu Kikwete asiwapeni kiburi,yeye si wa kwanza kuwepo ikulu,atamaliza mda wake ataondoka nanyi mtabaki mnaumbuka.
 
HII NI HATARI KWA TAIFA, MAADUI WETU NI MAGAMBA, HILO MLIJUE WAZI, RTC, VYAMa vya ushirika, sukita, reli ,viwanda , ndege, na uchafu mwiiingi , umefanywa na magamba. Sasa wananchi wamestuka, magamba wanatafuta kichaka cha kujificha. tuwe macho, tutatoana rohoo kwa uchu wa magamba.<br><br>nawasilisha.
 
Udom hakuna udini nyie ni waongo na wanafiki wakubwa haooooooo

Nina wasi wasi na halimashauri yako ya kichwa,sijui unafikiri kwa kutumia makalio au? Au unagongwa wewe? Sasa unabishana na wanaosoma UDOM? Unataka kutukanwa au umetumwa na mamluki wenzako we ****, wafikishie ujumbe huu kuwa UDOM KUNA UDINI, NA CHANZO NI KIKWETE NA KIKULA, NINA TAKWIMU, VIELELEZO NA USHAHIDI, Jinga wewe!
 
Nasikia kwenye mabweni na madarasa yote kumejengwa misikiti.

Wadau leo asubuhi hapa College of Informatics and virtual education (CIVE) - UDOM palikua na tukio la kuwaapisha viongoz wapya wa serikali ya wanafunzi ngazi ya college. Miezi kadhaa hapa nyuma kumefanyika chaguzi ngazi ya federation na college ambazo waziwazi ziliegemea udini kutokana na ushabiki wa wazi toka kwao na madai ya maelekezo toka ikulu.

La kushangaza ni wakati wa speech yake VC Prof Kikula,pasi ya kujitambua akitapa tapa kujaribu addressing ya ishu ya udini ambayo hapa UDOM imeota mizizi mara akaropoka " NANI ASIYEJUA HUU UDINI UMELETWA NA BARAZA LA MAASKOFU" ,akaenda mbali zaidi akiomba timu ya kumsaidia kupambana na blog na forum ambazo anadai zinawachafua. Kweli hawa majamaa nimeamini sasa kwamba wapo hapa Magamba Agent.

NAOMBA KUWASILISHA, Nilikua kwenye eneo la tukio.
 
Saizi wamefikia hatua mpaka wanawawekea wafanyakazi madawa ya kulevya,ili wakamatwe na wafukuzwe kazi,lakini shukrani kwa jeshi la polisi wanajua hali mbaya ya udom kiuongozi ,ambaye anafanya uharifu huo,ni mlacha,ame,khatibu,mama sawasawa na kikula,kuna mwalimu alitumiwa watu wakampige risasi wamuue kumbe jamaaa,amekaaa njemaaaaaaaa kiusalama lakini bado wanamtafuta kwa udi na uvumba jamaa na yeye anawajua waharifu wake lakini system ya usalama dodoma imekufa,kunamwanafunzi wa educationalipigwa mpaka akazimia lakini mgt ikawa inakingia kifua kesi hiyo.hiki sio chuo tena kwa sababu yanayofanyika hapa ni umafia tu,watu wanalinda vyeo hata kama hawajui kazi,
usalama wa taifa mko wapi dodoma?wote mmenunuliwa na management ya udom? Mnasubiri watu wauane maaana hawa jamaa,wanafanya uharamia,kama uchaguzi wa serikali ya wanafunzi wanapandikiza chuki mpaka watu wanatakakuana kwa chuki je hawa ndio wasomi wetu?kunampelelezi mmoja yuko hapa anaitwa lenard anachofanya hakuna kazi yake kuchukua maelezo halafu hakuna kinachoendelea anatumiwa tu na kikula na mlacha,chuo kimeoza hiki hakina hadhi ya kuitwa chuo kikuu kwa sababu watu wanaacha kufanya maresearch na consultancy wanawatafuta watu mpaka nyumbani kwao,hawajifunzi kutoka mlimani?,sua?mzumbe? Inaleta kichefuchefu sana
 
Udom hakuna udini nyie ni waongo na wanafiki wakubwa haooooooo

we kaa kimya! Tuliyoyaona Mei yanadhihirisha jinsi udini unaitafuna UDOM! Sasa we ukibisha it means uko nje au ni kilaza wa hao wanaongoza jahazi la udini!
 
Du! aisee nami nakumbuka mbali sana, ila c tulitia fora pale jamaa aliposhinda tukaanza kushangilia Yesu! Yesu! Lkn lazima tukubali wakristo tuliwazidi kete waislam hasa hapa Social, kusema kweli Bashe alistahiki kuwa kiongozi ana sifa zote kuliko yule dada, lakini kwa kuwa tulikula kiapo cha kutowapigia kura waislam nami tukawatekeza!

Bora kuusema ujinga wako maana nayo ni njia ya kuweza kutoka katika ujinga huo
 
Nina wasi wasi na halimashauri yako ya kichwa,sijui unafikiri kwa kutumia makalio au? Au unagongwa wewe? Sasa unabishana na wanaosoma UDOM? Unataka kutukanwa au umetumwa na mamluki wenzako we ****, wafikishie ujumbe huu kuwa UDOM KUNA UDINI, NA CHANZO NI KIKWETE NA KIKULA, NINA TAKWIMU, VIELELEZO NA USHAHIDI, Jinga wewe!

Duh ama kweli ilisemwa mwache mjinga aongee umjue uwezo wake wa kufikiri
 
Huyu KIKULA ameshajioneesha wazi kuwa anapendelea Waislamu. Naamini anachokizungumza hawezi kuthibitisha. Mf alipoongea na kamati ya Bunge huduma za jamii, alisema eti wanafunzi walikua wanawapiga wanafunzi wa KIISLAMu, pia eti migomo hii inachochewa na wanasiasa wa upinzani. Hakika huyu mzee hawezi kuthibitisha hizi kauli. IKO SIKU TU!
 
acheni upumbavu kwa kushabikia udini kwa taarifa ya wale wanaoshabikia hiyo kitu wajue kuwa 2015 hmtasikia huo upuuzi, hiyo ccm ni zaidi ya uijuavyo, mmesahau chaguo la mungu?
 
Back
Top Bottom