PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Hivi Chadema mna nini? Mbona Dar hamji? Mmetunyima haki yetu ya kikatiba ya kuandamana kupinga chama na serikali kandamizi? Chonde chonde, njoo dar es salaam, tuikomboe nchi yetu, huku ndiyo kila kitu, Misri, Tunisia na Yemen wamekombolewa kutoka miji yao mikuu, ona Syria wanavyolipuliwa kwa kuandamana miji midogo, I humbly request chadema to see Dar kama kitovu cha ukombozi wa mtanzania,

Is Arusha to CHADEMA the same as PEMBA is to CUF?... Please prove me wrong.
 
I see a disturbing pattern kama inajirudia... Chama Kinasimama kwa misingi ya charisma na personalities badala ya network ya uhakika to grassroot levels. Hivi mathalan leo hii(mungu aepushie mbali) personalities kama Dr W. Slaa, Freeman Mbowe, ZItto, J.J Mnyika na Tundu Lissu wakitoweka, je chama kitaendelea kufunction vizuri???
 
I see a disturbing pattern kama inajirudia... Chama Kinasimama kwa misingi ya charisma na personalities badala ya network ya uhakika to grassroot levels. Hivi mathalan leo hii(mungu aupushie mbali) personalities kama Dr W. Slaa, Freeman Mbowe, ZItto, J.J Mnyika na Tundu Lissu wakitoweka, je chama kitaendelea kufunction vizuri???
Mbona umewataja wengi Alwataan!...mmoja tu akiondoka,you know who.
 
Asanteni sana wananchi wa ars pamoja na viongozi wetu wa chadema. Asante kwa aliyeweka picha maana binafsi sikubahatika kuona hata kwenye tv.

People's power, mapambano yanaendelea, CCM mtajiju.
 
Walishawahi kwenda sebuleni kwa Pinda kuongelea masuala ya Arusha(huku wakinywa vipapli).Tusubiri baada ya siku 30.
yaani mbowe akanywe chai kwa pinda kuna haja ya kukupeleka mirembe siyo bure..
 
Asanteni sana wananchi wa ars pamoja na viongozi wetu wa chadema. Asante kwa alieweka picha maana binafsi sikubahatika kuona hata kwenye tv. People's power, mapambano yanaendelea, ccm mtajiju.
 
Mbona umewataja wengi Alwataan!...mmoja tu akiondoka,you know who.

Kabla ya mkutano huu,mlikuwa na analysis zenu na siasa za Arusha,ooh CDM imejimaliza,wananchi hawataki migogoro blah blah! Baada ya funga kazi ya jana na watu wa Arusha kuwadhihirishia kile msichotaka kukiona na kukisikia sasa mnaanza sarakasi zingine,jamani tulieni,wana A-Town wataamua hatima yao wenyewe.Ukweli ndio huo japo unawauma.
 
mpaka kieleweke, pipoz ...................................................................................power
 
I see a disturbing pattern kama inajirudia... Chama Kinasimama kwa misingi ya charisma na personalities badala ya network ya uhakika to grassroot levels. Hivi mathalan leo hii(mungu aepushie mbali) personalities kama Dr W. Slaa, Freeman Mbowe, ZItto, J.J Mnyika na Tundu Lissu wakitoweka, je chama kitaendelea kufunction vizuri???
<br />
<br />
Sijui kama unaelewa maana ya huo mkutano wa jana na kama unaelewa haukutaka kuushughulisha ubongo wako wakati wa kuandia kwa sababu mkutano huu ni kwa ajili ya collective decision and not indivial interests kama kina Mallah and co walivyofanya. Na maamuzi ya pamoja kama chama ndo network inavyo jengwa. Kuhusu viongozi uliowataja kila mmoja ana charisma yake tofauti na mwenzake na ni kawaida kwa viumbe hai tunachoangalia ni uwezo wao wa kutenda kufuatana na misingi na kanuni za chama kwa uwezo wao wote.
 
Hivi WaTanganyika wana hamu ya picha au nini kilichoongelewa kwa mustakabali wa nchi yao.

Tuwekeni wazi walizungumzia nini huko Arusha.
 
kwa mtindo huo,mara billion1 kwa idara 21,mara trilion3 kwa brg,mara hamna umeme hamna,mara nishati ya mafuta hamna,mara magamba.
Hayo yoote yanakifanya chama cha Magamba ku-qualify kuvumnjika kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! No way out...............
Kasema mzee wa wake mia 3 watoto mia 6.Naomba kutoa hoja.
 
I see a disturbing pattern kama inajirudia... Chama Kinasimama kwa misingi ya charisma na personalities badala ya network ya uhakika to grassroot levels. Hivi mathalan leo hii(mungu aepushie mbali) personalities kama Dr W. Slaa, Freeman Mbowe, ZItto, J.J Mnyika na Tundu Lissu wakitoweka, je chama kitaendelea kufunction vizuri???

Naamini kitaendelea manake miaka 10 iliyopita hiyo lineup haikuwa maarufu kiasi hiki, lakini with time ikajijenga na kufikia ilipo,bado naamini katika kujenga misingi ya sera nzuri zinazowagusa watu wengi haswa vijana na kujenga uwezo katika vijana wanaochipukia katika vyama ambao watasimamia kiukweli hizo sera, ndio chachu ya maisha marefu kwa chama chochote kile..
 
Hakika mabadiliko ya Tanganyika yanakuja na vijana wapo Tayari kwa kuyapokea vibaraka wakae tayari.................................. Haki ya kila mtanzania haiwezio kuzimwa hata siku moja.
 
Picha ZENYEWE wamejaa watoto wadogo. CDM hawana lolote shida yao ni kutafuta fujo. sasa hizo fujo wanazopenda wakapigane na wake zao na waume zao. mtu mwenye akili timamu hawezi kushadidia upuuzi wa Mbowe na wenzake
 
Back
Top Bottom