Kusoma mastaz

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,716
19,849
Habari zenu wataalamu wa Jf.
Nimeombwa ushauri jamaa yangu.KUWA JAMAA YEYE KAMALIZA BARCHELOR YAKE YA bcom-finance mwaka huu na anataka kuendelea na kusoma mastaz so kanifuata tushauliane Asome mastaz ya coz ipi?UKILINGANISHA NA COZ YAKE AMBAYO ipo marketable.MZAMINI yupo na ataripia tuition feez yote na ndo anasubilia jibu.
Nisaidien nikamshauri friend wangu.
 
Mwambie MBA-International business,ila ni wewe ucmsngzie rafik yako mkuu,kuwa wazi tu usaidiwe.
 
kwan mastaz ni UKIMWI mpaka nishindwe kujitambulisha.?Ila asante kwa ushauri wako.
 
Political Science will be ideal for him given the current market and salary bands....
 
Habari zenu wataalamu wa Jf.
Nimeombwa ushauri jamaa yangu.KUWA JAMAA YEYE KAMALIZA BARCHELOR YAKE YA bcom-finance mwaka huu na anataka kuendelea na kusoma mastaz so kanifuata tushauliane Asome mastaz ya coz ipi?UKILINGANISHA NA COZ YAKE AMBAYO ipo marketable.MZAMINI yupo na ataripia tuition feez yote na ndo anasubilia jibu.
Nisaidien nikamshauri friend wangu.
Hivi shule zinasomwa kama Fasheni au zinasomwa kwasababu zinahitajika??? hivi unaweza ukaniambia huyu mtu mpaka anamaliza bachelor mpaka sasa hajui nini anatakiwa kufanya?? kweli Bongo maisha ni kubahatisha.
 
Kuna kozi in Financial Engineering (MSc. Financial Engineering), ni nzuri sana kwa sasa due to Economic and Industrial movement. Sina uhakika kama Tanzania hiyo kozi ipo, ila kama mzamini atakubali kumsomesha mpaka nje; yeye atafute hiyo kozi na afanye. Ila hesabu lazima ziwe zina panapanda sana kwamaana kuna mambo ya Econometrics, Financial Modelling etc etc
 
Kuna watu wengine wanaudhi, na wanazidi kuaibisha Elimu ya Tanzania.

Mpaka mtu unamaliza miaka 3, unaamua kwenda Masters bado haujui nini unachopaswa kufanya.

Msiwe wavivu wa kufikiria.
 
ni hivi sio kama jamaa hajielewi just yupo kwenye Decision Dilema ndo maana anaomba mwanga kwa ushauri coz hakuwa amejiandaa kusoma free fall kutoka bachelor hadi mastaz sema anataka kutumia Opportunity hii ya udhamini wa bure tena sio mkopo.
 
Kuna kozi in Financial Engineering (MSc. Financial Engineering), ni nzuri sana kwa sasa due to Economic and Industrial movement. Sina uhakika kama Tanzania hiyo kozi ipo, ila kama mzamini atakubali kumsomesha mpaka nje; yeye atafute hiyo kozi na afanye. Ila hesabu lazima ziwe zina panapanda sana kwamaana kuna mambo ya Econometrics, Financial Modelling etc etc

Ndani ya nchi.ILA WAWEZA NIAMBIA ni chuo gani na kipo wapi kinachofaa habari hizo?
 
Kuna watu wengine wanaudhi, na wanazidi kuaibisha Elimu ya Tanzania.

Mpaka mtu unamaliza miaka 3, unaamua kwenda Masters bado haujui nini unachopaswa kufanya.

Msiwe wavivu wa kufikiria.

Mzee watu wanatofautiana ndo maana kuna tofauti kubwa kati ya madarasa na elimu.Ndio maana tumeuliza hili swala.
 
kama alisoma finance,mwambie hiyo mastera apark kwanza asome ACCA au CPA,masters bongo sio issue,MBA kila mtu aliepita chuo anayo!ni ushauri tuu lakini,but its truth.
 
Kaka hiyo bcom in finance hipo marketable? Mi namshauri apige job kwanza maana ukiwa na masters halafu working experience zero basi hawezi kuwa compitent....
 
Asante mheshimiwa
 
Mzee watu wanatofautiana ndo maana kuna tofauti kubwa kati ya madarasa na elimu.Ndio maana tumeuliza hili swala.

mpe pole, sijui akili yake ina kazi gani. Anapenda kufata mawazo ya watu. Haitendei haki akili yake kama anashndwa kufanya swali dogo kama hilo.
 
Mwambie ale kuku kwanza,
Masters ipo tu, ataisoma hata baadae
 
Back
Top Bottom