Vp kuhusu ajira mpya na vijana wa kujitolea jkt 2016,tunaona kimya tu hatupewi updates zozote,tangia mwezi wa 6 mpaka leo tupo mtaani isitoshe tulisha nunua kla kitu kwajili ya safari
Ningumu sana kuamini coz siasa zimekua nyingi..Kama kweli pesa ilisha tumwa ni nini kinacho wa zuia vijana kwenda jakata? Ukweli hujitenga dhidi ya uongo..
Mkuu nafikiri ipo haja ya kuwaambia vijana ukweli...Ivi kwa mdororo huu wa uchumi kuna haja ya kumwaminisha raia kuwa safari ipo siku za karibuni? Acheni kuwa manipulate vijana waambieni ukweli ili wajiongeze kufanya mambo mengine.Alafu nashindwa kuelewa hzo ronja mnatoa wapi ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.