Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Tatizo sio hela ila hela imedhibitiwa isitumike ovyo..mkopo kwa wanafunzi ishapelekwa kwa wenye sifa..tu..jus calm mda ako ukifika na ww utaenda tu
TAARIFA YA WAZIRI JANA INASEMA SIO KILA MWENYE SIFA YA KUPATA MKOPO BASI ATAPATA, HAPO NDO UJIULIZE KWANIN??????
 
Ww unasema serikali haina ela..usaili unarudiwa..ss kwahyo fedha za kuwalipa posho za kufanya usaili na kununua vifaa zipo?kwa taarifa tu usail haurudiwi..na mwezi huu tutapata taarifa lini tunasepa.ss ww kaa na mwakani yako kisa umekosa nafasi.
 
Vijana wanaamini story za vijiweni na kuwa wasemaji wa serikali.
 
Ww unasema serikali haina ela..usaili unarudiwa..ss kwahyo fedha za kuwalipa posho za kufanya usaili na kununua vifaa zipo?kwa taarifa tu usail haurudiwi..na mwezi huu tutapata taarifa lini tunasepa.ss ww kaa na mwakani yako kisa umekosa nafasi.
FUATILIA KWA MAKIN POST, USITOKWE NA POVU BILA SABAB MIMI SIYO NILIYESEMA USAILI UNARUDIWA KWASABABU SINA USHAHID HUO NA NANI KAKWAMBIA NIMEKOSA NAFASI!!!
 
Guys no more hope. Hela hamna ni ndoto za mchana sawa na kusubiria meli airport. Taarifa ni nyingi mpk mtu unashindw ht kutoa ukwl. Vijana tafuteni chakufanya jakata lishakuwa shubini sisi tuliopo tunapumulia machine ndo ivo bla bla nyingi hazitakiwi. Othawiz kila mmoja na aombe kw imani yke huenda mambo yakalegezwa kdg .
 
ha ha haaah sisi tuliopo tunapumulia mashine. poleni sana kaka hzo taarifa hata mm nlizipata polen sana
 
haito fika huko ni mwenzi wa tano mwanzoni au katikati.
Kijana ulikosa nafasi nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jeshi haliendeshwi kw porojo zenu tafuteni kazi ya kufanya mfanye msiwakatishe tamaa vijana wa watu
 
Back
Top Bottom