Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hhahahaha vijana msikose imani soon mtapata taarifa nyingine itakayo husu utaratibu wa safari...kama mlivitumia vitu kwenye tranka anzeni kununua upya safari inakaribia...hayo sio maneno yangu ni maneno ya rafiki yangu aliye makao....so kiukweli tuwe prepared...!
 
Ha ha ha ha...mkuu kituko Sanaa wewee kwahyo mwez 6 itakua mwez wa 5 katikati hiviii...ha ha ha...acha kukatisha watu tamaa aseee.
mkuu hali halisi tunaiyona ww fikiria wanafunzi hady mda huu hawana walimu wakutosha mashuleni, zahanati hazina wauguzi wakutosha, elimu ya juu mikopo ndo hvo tena, mishahara haija banda SASA WW JAKATA UNAENDA KULA BURE UTAKUMBUKWA KWELI tuacheni bhana utani tujiongeza vijana wenzangu kwa mwaka huu no hakuna haja ya kutiana moyo (fikra sahihi uja kwa hali halisi serikali haina pesa)
 
we jamaa umeongea dah
 
Kila kitu na wakat wake,rais jpm hajamaliza mambo yake ya uhakiki,hope baraza wakimaliza kuhakiki mambo ya ajira Mpya ndo yanafuata! Serkali ina hela na kila idala ina bajet yake hzo hela haztok mfukon mwa mtu Bali ni bajet, jaman msikatze tamaa watu kwa kudhan bila kuwa na details! Mambo yamechelewa tu BT kila kitu ktakuwa safi si muda!
 
kwa mtazamo wangu...ikiwa mwezi huu ndo kwanza wametuwekea tangazo la kujiepusha na matapeli wakati tulikuwa tukisubiri tangazo la safari basi tusipeane moyo huu ni mchakato wa mda mrefu sana hii inshu ni mpaka mwakani tu...Tufanye mambo mengine
 
USALAMA WA NCHI NDIO KILA KITU ndio mana jeshi sio kama sekta nyingine na tatizo sio sababu ya uhakiki ,msikate tamaa muda mbona umefika....watu wamekaa oljoro toka feb had nw hadi wameanza kufanana na raia,
vijana jiwekeni vizuri kozi itakua ngumu sana sio kwamba natishia ila ndo ukweli huo,jalamba litakua kali
by:Mwenyekiti wa huu UZI

sent from SIEMENS mkonge.
 
jukwaa la matumaini wazee wa jakata ntia moyo akiwa Moto wa Maji, Nkanga hata aeleweki sijui n balozi wa majukwaa yote juzi nmekuta amepost et naye n wale waliosimamishwa kazi kupisha uhakiki ww Nkanga kweli upendi ugnga,
Jambo afande
 
duh! Afande magu hebu waone vijana walivyo na morali wa kulitumikia jeshi usiwakalie kimya
 
Mkuu nafikiri ipo haja ya kuwaambia vijana ukweli...Ivi kwa mdororo huu wa uchumi kuna haja ya kumwaminisha raia kuwa safari ipo siku za karibuni? Acheni kuwa manipulate vijana waambieni ukweli ili wajiongeze kufanya mambo mengine.Alafu nashindwa kuelewa hzo ronja mnatoa wapi ?
 
tatizo sio pesa ila
Fungu lilishaingia,suala la ronja zinatolewa wapi hamna haja ya kufahamu
 
Back
Top Bottom