Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,375
- 855
Mwanzoni walitoa link ya kudownload ila naona kama wameondoa nami nilibahatika kupakua na nimeshindwa kuweka humu kwa kuwa ina 32.33MB na JF inaruhusu 24.6MB kuupload.Mkuu hii idadi yote umeipataje na majina yote ya waliopata naweza kupateje?