syl_felix
Member
- Sep 21, 2016
- 61
- 52
Kaja mshauri wa mgambo leo home kasema tunaondoka mwaka huu mda wwte na sio mwakaniwanajukwaa mwenye ronja mambo yataipa lini maana dah
Kaja mshauri wa mgambo leo home kasema tunaondoka mwaka huu mda wwte na sio mwakaniwanajukwaa mwenye ronja mambo yataipa lini maana dah
Uyo Aliye kwambia yupo Chin yanguKaja mshauri wa mgambo leo home kasema tunaondoka mwaka huu mda wwte na sio mwakani
Tangazo ni halali na lipo ktk tovuti ya utumishi.hiyo barua cyo ya kweli coz haina muhuri wala saini ya mwandishi.
Umeitoa wapi hii barua,mbona kwenye website ya utumishi haipo
shidah ya mleta uzi wa mara ya kwanza ambaye n Nkanga aliweka muda karibu sana et february so akaona aje atengue kauli yake coz mambo ni hadi june baada ya budget
My take Serikali haina pesa hadi kupelekea wauguzi kugoma kutokana na kutolipwa mishahara yao mienzi miwili
Huyu kijana niatari sana kwa kujibadili maumbo.
Sasa mbona inaweza kuwa habari mbaya kwa wazalendo... Kama wataandikishwa hawa c watapewa kipaumbele wao.....OI nimesikia ofisi za washauri wa mgambo mikoa au wilaya wanawaandisha waliopitia mafunzo ya jkt ambao wapo kitaa fatilieni neema hiyo dar wameanza
Kwenda wapi mkuu wangu Mkomoli.jaman naskia watu wanakalibia kuenda
Tusubiri kidogo tu coz wakisha maliza uhakiki wanapanga mishahara upya. Somo lazma lieleweke.jaman naskia watu wanakalibia kuenda
sio kweli bhana ingekuwa hvyo wangeweka kwenye website yao...!Sasa mbona inaweza kuwa habari mbaya kwa wazalendo... Kama wataandikishwa hawa c watapewa kipaumbele wao.....
Habari zimekuwa nyingi mkuu..sio kweli bhana ingekuwa hvyo wangeweka kwenye website yao...!
Hyo ni big issue so lazima wangetangaza kwenye vyombo vya habariHabari zimekuwa nyingi mkuu..
Hahaaaaah umesahau kuweka mwaka mkuu.Tareh 1 mwez 11
Nikiweka mwaka mtanihukum Acha ivyo ivyoHahaaaaah umesahau kuweka mwaka mkuu.