Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hilo ni jeshi au mbayuwayu? tokea lini karne hii unawapa watu MT no. alafu kozi hawajapiga, unadhani hawawezi kuwa unfit kabla ya kozi? au vp ndo wanataka kufanya bora iende tu
Mkuu wale wametoja JKT hawajatoka mtaani. Alafu mpaka wamechaguliwa wamejiridhisha wako fit. Na posho wanakula saivi.
 
Mkuu wale wametoja JKT hawajatoka mtaani. Alafu mpaka wamechaguliwa wamejiridhisha wako fit. Na posho wanakula saivi.
Ukishafanya usail kwa ajili ya JWTZ kutokea JKT, kabla ya Koz ya JWTZ ni LAZIMA MPIMWE AFYA TENA.
 
Alhamdulillah
Tarehe 15
Asante sana lt wng
842,
Wanaandaa mazingira
Ya kutupokea
Iyo trh
Eti wameniambia ninywe maji mengiiii cjui maaana yake nn
Hivi huchoki kudanganywa tuu...Au kwakua umejua wanakudanganya na wewe ukaamua kudanganya..
 
Kama ningekuwa Mimi ndo mzalendo halafu wanatuyeyusha hivyo ningeachana nao mazima ningeangalia ishu zingine za kufanya

Ila nashukuru nilishapita huko Kule 825

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kama ningekuwa Mimi ndo mzalendo halafu wanatuyeyusha hivyo ningeachana nao mazima ningeangalia ishu zingine za kufanya

Ila nashukuru nilishapita huko Kule 825

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mimi binafsi nimejikuta gafla morali imeisha na silipendi tena jeshi na akili yangu imefunguka kwenye mawazo mengine kabisa yaan akili yangu imekua tofauti sana na sina mawazo ya jeshi tena japo nilipangwa 842
 
Mimi binafsi nimejikuta gafla morali imeisha na silipendi tena jeshi na akili yangu imefunguka kwenye mawazo mengine kabisa yaan akili yangu imekua tofauti sana na sina mawazo ya jeshi tena japo nilipangwa 842
Tatizo vijana wako obsessed sana na jeshi hata jeshi lenye hawalijui zaidi kusikiasikia tu

Nawaambieni nyie mnaolilia kwenda huko kuna baadhi yenu watajuuta kwanini walilipoti siwatishi Ila jeshi sio lele mamana sio sehemu ya mchezo mchezo hasa kwa nyie Wa kujitolea bora wale Wa kwamujibu huwa wanaonewa huruma coz wamesombwa tu Ila nyie mliofanyiwa usahili jiandaaeni heheheheeh
.
Kikubwa saivi fanyeni michongo yenu huku kitaaa yaani kama vile depo halitokuwepo then wakiwaita mtaopsheni muende au vipi kulingana na mambo yenu yatakavyokuwa hapo baaadae

Waziiiiiiiiiii[emoji15]

Haya wote push up !![emoji15] ...

Chiniiiiiiiiij juuuuuuuuu....chiniiiii juuuuu


Halafu wazalendo wanaleta masarau
.
 
MCHAKATO HAUTOANZA UPYA ILA MTAPIMWA TENA MAANA WENGINE WASIJEKUFA SIKU YA INTRO...D
Dadeeki chezea intro wewee waache tuu watokwe na povu la kukimbilia!!!!uzuri mmoja kule hakunaga fenc wala uzio kambi iko aazi na njia za kutokea ni nyingi mi naamini vizana wa sa hivi baabdi ni walaani sana watakimbia wengi[emoji86] [emoji86]
 
Moto wa Maji na genge lako mliosema JKT ni mwezi huu mpo wapi? Tuacheni ronja zisizo na maana.

Kila mmoja anashuhudia kabisa namna serikali inavyoenda, na mara nyingi inasemekana pesa hamna. Sekta nyingi hazijaajiri, na sisi tutulie tu form zetu.

ILA KAMA KWELI IKIWA MWAKANI TUJIANDAE NA USAILI MPYA.

J4 nilipata Ronja kutoka kwa afande ila naogopa kuiweka hapa. Tuwe wapole kwa yote yatakayotokea.
Weka ronja kijana wacha kuwaficha wenzio[emoji3] [emoji3] [emoji3] wenzako wanajipa matumaini kwa ronja tuu bado watu mitero iko juu!!
 
Back
Top Bottom