Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Kwamujibu wa chanzo kisicho rasmi...mwezi ujao lazima kozi zianze sasa sijajua Ni za ajira au za jkt...wacha tusubiri tuone.
 
Recruitment training school (RTS)...pale Ni shule yakukufunza mambo ya kijeshi Ili uwe mjeshi kisha ndo uanze kozi za kijeshi kama infantry Na kozi nyingne za ujuzi baada ya kua mjeshi...ukifaulu pale RTS ndio unakua mjeshi rasm kwakiapo ambacho hakifutki had kufa...chini ya hapo huwez pga kozi za jeshi...huwez maliza jkt alaf ukapga level 2 lbd itolee special order kma niliyockia ya oljoro kua wao watapga level 3 vikosin kwao watakapopngiwa kma itakua kwel lkn
 
Back
Top Bottom