Rais Magufuli kuelezea mwaka mmoja wa utawala wake Ijumaa Novemba 4 live AZAM na TBC1

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli atazungumza na taifa moja kwa moja yaani live aka Mubashara kupitia vyombo vya habari Ijumaa Novemba 4, 2016. Miongoni mwa vyombo vya habari vitakavyorusha matangazo hayo ni Azam TV na TBC1. Pia vyombo vingine vya habari vitarusha matangazo hayo kupitia channel hizo.

Yapo mengi ambayo naamini Rais wetu atayazungumza. Naamini kuwa Rais atazungumzia jinsi alivyofanikiwa kurejesha nidhamu serikalini, kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zinapotea kutokana na HEWA kuwa nyingi kama kwenye mikopo, watumishi, wanafunzi nk

Naamini pia kuwa Rais atazungumzia kwa nini yeye hasafiri sana lakini anakaribisha wageni wengi kuja nchini. Miongoni mwao ni pamoja na Marais wa Rwanda, Uganda, DRC, Mfalme wa Morocco pamoja na mkutano wa Mabohora. Rais atazungumzia manufaa ya ziara hizo kwa taifa ijapokuwa miongoni mwa hizo ziara zilipewa kisogo na vyombo vya habari.

Vilevile ni imani yangu kuwa Rais wetu atazungumzia mambo aliyojifunza katika mwaka mmoja wa utawala wake

Pia natarajia Rais ataeleza changamoto zilizojitokeza wakati akileta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu. Moja ya changamoto ni zile zilizojitokeza wakati wa utoaji wa elimu bure ambapo baadhi ya watu walianza kuingiza wanafunzi hewa. Pia changamoto hizo zimejitokeza wakati wa utoaji mikopo kwa wanafunzi ambapo amebaini hakuna coordination baina ya TCU, Bodi ya Mikopo na Vyuo ambapo inatarajiwa kuwa atatangaza rasmi utaratibu wa vyuo vikuu vyote kufunguliwa kwa siku moja.

Pia Rais anatarajiwa kueleza miradi mikubwa ambayo Serikali yetu inatekeleza. Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Bomba la Mfuta kutoka Hoima Uganda hadi Tanga. Pia ujenzi wa Reli ya Kati kwa Standard Gauge. Pia ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka DRC kuunganisha na Bomba la Uganda. Vile vile ataeleza mkakati wa Serikali katika kupanua miundombinu ya nchi ikiwemo barabara, reli, bandari na viwanja vya ndege. Ununuzi wa ndege ni miongoni mwa mambo ambayo naamini hatasahau kuelezea

Ijapokuwa Rais wetu ana muda wa mwaka mmoja tu, amefanya mambo mengi makubwa na ambayo naamini atapata fursa ya kueleza kupitia kikao hicho na waandishi wa habari.

Naamini pia waandishi wa Habari watapata fursa ya kumuuliza maswali ili kuomba ufafanuzi wa masuala kadhaa.

Haya nimeyawaza tu kutokana na jinsi ninavyofuatilia mwenendo wa serikali ya awamu ya tano.

Ka wale ambao vifurushi kwenye ving'amuzi vyao vimeisha, huu ni wakati wa kulipia ili usikose uhondo siku hiyo.
IMG-20161103-WA0035.jpg
 
Nikweli mkuu uchumi umedidimia sana hamna hata haja ya kutuelezea kwasababu kila kitu kipo wazi
 
Vp kuhusu ajira mpya na vijana wa kujitolea jkt 2016,tunaona kimya tu hatupewi updates zozote,tangia mwezi wa 6 mpaka leo tupo mtaani isitoshe tulisha nunua kla kitu kwajili ya safari
 
Vizuri sana
Pia naimani atazungumzia muelekeo wa serikali kwa muda ujao,
Bila kusahau kaamua Tanzania iende na itaenda
Haita kwamishwa na watu wachache
 
nilishapoteza imani na huyu jamaa sijui ni lini nilimsikiliza hotuba yake hata kusoma yanayomhusu naona ni kupoteza mda tu.
 
Vizuri sana
Pia naimani atazungumzia muelekeo wa serikali kwa muda ujao,
Bila kusahau kaamua Tanzania iende na itaenda
Haita kwamishwa na watu wachache
Yeah! Ndio maana ya kuitwa Tingatinga
 
aeleze pia wafanyakazi wamemkosea nini mpaka anawafanyia mambo kama haya...
 
Back
Top Bottom