Makamba jeki
Member
- Sep 30, 2016
- 16
- 14
Mkuu tafadhali nisaidie..Utakuwa umepata lkn hawajaonyesha kiwango,utakikuta chuoni.View attachment 424631
s2889/0013/2013
Mkuu tafadhali nisaidie..Utakuwa umepata lkn hawajaonyesha kiwango,utakikuta chuoni.View attachment 424631
Mkuu tafadhali nisaidie..
s2889/0013/2013
Mkuu nashukuru, kwa tafsiri hiyo unanihakikishia kuwa mkopo nimepataMkuu usizan kama utawekewa kias kene hyo profile hivo utavionea chuo mi mwenyewe nshapewa mkopo na nkajua kias changu na kila kitu lkn nkienda kene profl nakuta brk down haijajazwa so nenda chuon ndo utaona hzo garama ulizolipiwa.vingnevo utasbr mpka bhas
Mkuu mbona jina ni tofauti pls index,namba ni hii s2889/0013/2013
Angalia pale juu utaona index namba nihiyohiyo.Mkuu mbona jina ni tofauti pls index,namba ni hii s2889/0013/2013
Inakuja jina la Mgonela Antilemi Godfrey.Mkuu mbona jina ni tofauti pls index,namba ni hii s2889/0013/2013
Unatakiwa uisome nambaWewe unadhani kazi ndogo kukosa kwenye list [emoji35][emoji35][emoji35]
Umepata kweli.make mi nipo HKMU first batch jina lngu halikuwepo lkn baada ya muda nliingia heslb nkakuta breadown bila kujazwa chchote kwenda chuon nkakuta hyo majn na lang limo so ndo nkacheki hyo hla walonipaMkuu nashukuru, kwa tafsiri hiyo unanihakikishia kuwa mkopo nimepata