Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

af529b80962312ff8d99b9cb908d4697.jpg



Chakushangaza jina lako halitokei ila kiasi ulichopewa na jina lashule yako linatokea naona mtandao wao haupo sawa.
hongera.
Mkuu nichekie namba
s2804/0059/2013
 
Heslb ni majanga sio kitu cha kufurahia.
Ni umaskini wako wa baadae. Mark my words people are crying here
Kukosa mkopo kusikie tu kwa jirani.
Likikukuta utatamani ufe unywe sumu au ujinyonge maana wenzako watasoma ww upo nyumbn.
Nlikuaga ckai kwa amani chuoni wala class.
kuna test nlipata 1/5 kisa nlikosa mkopo.
ila sasa moyo umetulia.
 
Back
Top Bottom