Recent content by makaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

    Hivi marehemu amewahi kufundisha/lecturer chuo kikuu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni

    Karibu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Benki ipi nzuri kufungua account?

    Akiba commercial bank
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukara Fish: Dagaa wa kukaangwa wa Mwanza

    Mwanza mko sehemu gani? Tuwekee na mchanganuo wa bei zenu kwa package! changwe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Semister moja mnafanya masomo nane? Course gani hiyo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imevifuta Vituo vyote vya huduma za Afya ya VVU na UKIMWI kwa watu wa makundi maalumu

    Kwa mfano vile vituo vya ANGAZA haviruhusiwi kutoa huduma ya upimaji? Instead uende hospitali za serikali! Sijaelewa hapo!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda alivyonusurika kumwagiwa maji na watangazaji wa Clouds

    Unasemaje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Angela Kairuki: Zaidi ya walimu 5000 waingia mitini

    Maneno yako yana viemelea vya uchochezi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Kwahiyo anachagua ma askofu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Unajuaje? #achauongo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Othman Chande astaafu, Magufuli amteua Jaji Prof. Ibrahim Juma kukaimu

    Bila Phd to Prof....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna special thread

    Hakuna kama Mama
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ripota wa rais ikulu (Kurugenzi ya habari ikulu)

    Nimefatilia hotuba nyingi za mheshimiwa Rais JPM akiwa kanda ya ziwa katika hotuba zake kwa wananchi huwa anatumia lugha za asili ya makabila ya huko. Nashauri wanao ripoti habari hizi hasa zile video zilizowekwa katika social media kama youtube.com wangekuwa wanatasfiri zile "vurnecular...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi shirikishi (Sungusungu)

    Habari wana JF, Mitaa ya mingi ya kata ya Azimio na Tandika wilaya ya Temeke kuna zoezi la ulinzi shirikishi limeanzishwa. Kila mwananchi inabidi alinde japo siku moja kwa wiki. Ulinzi unaanza saa moja kamili usiku hadi saa kumi na moja na nusu asubuhi. Kuna vikao kama viwili walikaa wananchi...
Back
Top Bottom