Ukara Fish: Dagaa wa kukaangwa wa Mwanza

changwe

Senior Member
Aug 6, 2014
159
44
UKARA FISH GROUP tunauza dagaa wa kukaangwa wa viungo na wasio na viungo wenye ubora wa hali ya juu sana wakiwa wameandaliwa mazingira safi na salama.
Tunapatikana mwanza na mikoani tunatuma.
Oda 0759292980
IMG_20170502_133357.jpeg
IMG_20170502_125631.jpeg
IMG_20170502_125652.jpeg
IMG_20170429_121653.jpeg
 
AF kwanini bei yenu in Moja tu wauzaji wote AF kit kingine Wateja wangu wanataka dagaa watamu ambao walikaangwa.baaada ya.kuvuliwa tu wanaotaka wale wakali wachache
Bei inaendana na cost mkuu zinachukua process ndefu kukamilika.hao debe ni elfu sitini wanakaangwa bado wana maji hivo hutumia mafuta mengi
 
Sema mnapiga faida sana,debe 1 la safi kabangaja,Kayenze kubwa/Ndogo haivukagi 15,000.

Kukaanga 2ltr za mafuta,kuni mbili tatu ,kuuza 40,000 faida 15,000 chap.
Na mimi nakuja Igombe kukaanga dagaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom