Jaji Othman Chande astaafu, Magufuli amteua Jaji Prof. Ibrahim Juma kukaimu

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
6823a4624bfefc17b349db527cae9b24.jpg


IMG_2463.JPG
 
Jamaa anapenda sana maprofesa aisee. Mpaka mahakamani?

Nimecheeeeeeeeeeeeeeeeka, sina mbavu....Hizi ni Enzi za wasomi...usomi sasa unalipa...ukisoma na kupata PhD na ukiwa na umri muafaka na kuitendea haki PhD yako (unajiweza kitaaluma, mwadilifu, mchapa kazi, huropoki ovyo, na wala siyo mwanaharakati na pia wewe ni mzalendo) ni lazima upate nafasi, hakuna ubishi kwa hili.....
 
Kiukweli kwa wanaomjua Dr. Ibrahim Juma, kwa maoni yangu , Baada ya Jaji Mkuu Agustino Saidi na Jaji Nyalali, na Barnabas Samanta, sasa ndio Tanzania imepata Jaji Mkuu Mwingine!.

Hiki ni kichwa mbaya na no nonsense man! .

Paskali
Nakumbuka maamuzi yake kwenye kesi ya Mpendazoe vs Makongoro Mahanga.. ila Paskali huyu si inasemekana ni mpendwa wa taasisi ya awamu ya nne?
 
Back
Top Bottom