Nini suluhishi ya haya matatizo ?huduma za internet tz ni poor,.. Inafurahisha taasisi mbalimbali zikitaka kuachana na taratibu za kizamani na kwenda kidigo na ulimwengu wa techn, ila inasikitisha kuona serikali kama serikali kuto kua tayari kutengeneza mazingira mazuri ili haya mambo yawe kwa...
zipo kibao pale kariakoo sokoni, karibu na parking area ya upande wa kusini wa soko, kama unatokea upande wa kuingilia shimoni,..kuna chingaz kibao pale wanauza..
dah naipenda yanga, lakini natamani azam wapate nafasi washiriki michuano ya CAF, tuone wataleta changamoto gani kwenye soka la kimataifa na soka la bongo kwa ujumla.
dada huyo kijana muambie asome hiyo diploma ya ualimu, ajitahidi aweze kufaulu kwa kiwango cha B, yaani at least lower second, alafu kwa vile sasa anataka kusoma uhasibu, aje kuomba mkopo kwa kutumia cheti cha diploma kama sifa linganishi (equivalent).
Hela upelekwa kupitia account ya chuo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na kwa wale wanaoonba kwa mara ya kwanza,.. dhumini la kufanya hivi ni kwasababu mfumo wa admission sio reliable sana, unaweza kuta taarifa zilizopo bodi mwanafunzi aliomba udsm lakini anabadili anakwenda tumaini bila kutoa...
Maskini nchi yetu, kweli hawa ndio viongozi watakao kuja kuingoza nchi yetu,...?!! ni muda muafaka wakuona uwezo wa wasomi wetu wakufikiri na kutatua mambo, je wataangukia kwenye mtego huu ?
hawa jamaa ningewaona wamaana kama wangeanza kufuatilia agizo la mwenyekiti wao wa taifa ccm, kuhusu swala la bodi la kua na account yao ambayo hela toka hazina zingeiingia moja kwa moja na kuachana na mtindo wa hela hizo za mikopo kwa wanafunzi kupitia wizara ya elimu na baadae zipilekwe...
natamani shahuku inayo kuepo kabla ya mechi ya yanga na simba, na msisimuko.. vingeweza kuwa reflected into actions uwanjani pindi timu hizi zinapo cheza, kiwango duni no flair yaani sijui tatizo ni nini ? wachezaji hafundikiki au nini ? ikabidi baada ya mechi nijiliwaze kwa kandanda safi la barca
Na hatari nyingine ni taa za kuongozea boat au meli kuingia bandarini kwa upande wa bara, nyingi hazifanyi kazi... ni hatari pale inapokua inanyesha mvua na ukungu umetanda.. nahodha inabidi awe makini sana.. usiombe hali hii ikikute kama ni muoga unaweza mwaga chozi mtu mzima...
Tatizo sio kusoma majina yao kwenye magezeti na kusema imetulia, ni kweli ukisoma majina imetulia, tatizo ni pale wanaposhindwa kufunga magoli, sijui hili tatizo litakwisha lini maana linaniumiza sana.. hivi Tz hatuwezi kufuata mfano wa Ufaransa kuwapa uraia wachezaji ambao wanaonekana wanaweza...
nimeona mabufu, vyoo na vyumba vyao hali yake inatisha na kusikitisha,.. ni vigumu kuamini kua hali hiyo ipo kwenye chuo hicho, kilicho jaa sifa si tu hapa nyumbani bali afrika kwa ujumla.. na shauri watanzania wenzangu wakati umefika kuanza kuchangia elimu na kuwekeza kwenye elimu na kuachana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.