Nitapata wapi jezi ya tp mazembe??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitapata wapi jezi ya tp mazembe???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kireka1980, Apr 1, 2011.

 1. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nahitaji jezi ya timu ya TP Mazembe kable ya kesho jioni anayefahamu zinapopatikana hapa Dar anijulishe.
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Watafute wanamuziki wa Kongo, wengi wanakaa mitaa ya Mwananyamala/Kinondoni Studio, wanaweza wakakuuzia used...
   
 3. M

  Mwanza One Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Inabidi tufuatilie uraia wako kwanza. We badala ya kuulizia jezi ya mnyama utaipata wapi unaulizia ya mazembe!!!!!!!!!
   
 4. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  I like this!!!!!
   
 5. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ninayo kanga yao nije nikuvishe
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,617
  Trophy Points: 280
  ana haki jamani PENGINE ANAOGOPA AIBU AKAONA ABEBE ZOTE ATAKAESHINDA ANAIVAA..BINAFSI NIGEMSHAURI AANZA VAA YA MNYAMA 10MIN KABLA YA KUISHA GAME MKUU HAYO NDIO MATOKEO KAMA TUMEFUNGWA WE KULA ZAKO TP KWA RAHA ZAKO..ILAN IVAE KABISA JUU YA MNYAMA KUNA MAPOLISI WAMEANZA KUSASCHI KWA KUSHIKA SEHEMU ZA SIRI SIJUI WANAHAMU NAZO ..TENA WATU WAZIMA MPKA UNAJIULIZA ANAANZA MAPAJA AKIFIKA SEHEMU HUSIKA ANASHIKILIA KAMA 5 MIN LIKE ANA GOOGLE WEBSITE YA LOLIONDO KUPATA KIKOMBE TRIP HII NIMEWAWEKEA JUICE AKIMINYA ANYWE KABISA
   
 7. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  il appreciate and ul be appreciated
   
 8. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hayo mambo ya uzalenda kwenye kwa Vilabu vyetu nilishasahau, mkuu wala sitaki kuharibu weekend yangu kwa kisingizio cha uzalendo!!!
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nenda Zaire ya zamani zipo za kumwaga
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Nenda m taa wa jangwani na Twiga
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  choo cha shimo pale pugu sekondari
   
 12. Magpie

  Magpie Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  zipo kibao pale kariakoo sokoni, karibu na parking area ya upande wa kusini wa soko, kama unatokea upande wa kuingilia shimoni,..kuna chingaz kibao pale wanauza..
   
 13. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mashabiki wa YANGA UTAWAJUA TU..! :disapointed:
   
 14. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  naelekea k'koo nikosa naenda Twiga/jangwani hadi kieleweke TP Mazembe. Uzalendo hawa jamaa hawabebeki...
   
 15. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kamuone presidar nyoshi-el-sadaat au wanenguaji wa ACUDO
   
Loading...