BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,507
- 11,883
kamati ya uvccm imetoa tamko kushinikiza serikali kuivunja bodi ya mikopo!wata andaa maandamano nchi nzima!wakati huo huo mawaziri wa mikopo wa vyuo mbalimbali wamesema wana siasa wasichukulie suala lao kama la manufaa ya kisiasa bali serikali ibadilishe mfumo wa bodi ya mikopo uwe bora zaidi kwa kuwa tatizo ni watendaji sii bodi!source radio one!wana jf kama maandamano uvccm yatafanyika nafikiri tuunganishe hapo hapo kale ka utaratibu ka TUNISIA NA MISRI mwasemaje?