Loan board kwa hili mnastaili kulaumiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loan board kwa hili mnastaili kulaumiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Jan 31, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mdau mmoja toka chuo kikuu nilimhoji kuhusu migogoro ya mikopo
  Kumbe loan board fedha wanazituma vyuoni alafu vyuo ndo vinapeleka kwenye account za wanafunzi.
  Kinachotokea watu wanazipiga izo kwenye fixed account kabla ya kuwapa wanafunzi
  Swali
  Loan board wanavikopesha vyuo au mnawakopesha wanafunzi,kwenye form za mikopo kuna namaba za account za wanafunzi kama sikosei kwa nini msiwawekee moja kwa moja badala ya iyo mizunguko.

  Sidhani kama wakati wa kurudisha mkopo wanafunzi watapeleka ela chuo then ndo ziende loan board?
   
 2. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  My freind let loan board send monies to the institute,otherwise you will call forgeries,chuo kinawajua wanafunzi wake,la msingi hapa waache tamaa ya kuweka kwenye fixed deposits tu.
   
 3. babaT

  babaT Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cha msingi Loan Board kila wakituma fedha vyuoni wawe wanaweka wazi even katika website yao tu kuwa hela za wanafunzi wa Vyuo kadhaa na majina wayataje zimekwenda tarehe fulani, otherwise huu mchezo wa wahasibu wa vyuo kuziweka katika fixed A/C na kula cha juu hautakwisha
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mbona majina yakitoka huwa yanatangazwa kwenye link ya loanboard!tatizo huwa hawaweki tarehe tu!yaani hata vyuo vilivyo chini ya mashirika ya kidini wanaweka kwenye fixed acc??basi migomo iwe inahusisha mpaka kwenye mabenki maandamano yaende huko maana inaelekea wanashirikiana na hawa wakuu wa vyuo kwenye kupata faida za hiyo mikopo!
   
 5. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kuna baadhi ya first yea hawapewa ela ya kujikimu na bodi mpaka leo? na ndo semister inaisha ivooooo!
   
 6. Magpie

  Magpie Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hela upelekwa kupitia account ya chuo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na kwa wale wanaoonba kwa mara ya kwanza,.. dhumini la kufanya hivi ni kwasababu mfumo wa admission sio reliable sana, unaweza kuta taarifa zilizopo bodi mwanafunzi aliomba udsm lakini anabadili anakwenda tumaini bila kutoa taarifa on time ili bodi ifanye marekebisho hayo kwenye mifumo yake, na msimamo wa bodi ni kwamba kama itatokea hili tatizo hela lazima zirudishwe kwanza bodi, ndipo malipo yafanyike kule mwanfunzi alipo kwenda.Ili kupunguza matatizo haya bodi hupeleka installment ya kwanza kwa bursar ambapo mwanfunzi atapokea hela zake na kusaini kuonyesha yupo chuo hiko husika, pia hutakiwa kutoa taarifa sahihi za account yake ili malipo ya second installment yafanyike kwenye account ya mwanfunzi.
   
Loading...