I'm not so sure kuna nini lakini Turkey ninavyoielewa kwa sasa is among the top 20 largest economies in the world na wamekuwa very agresssive in the recent years ktk kuinvest in Africa, Middle East na Asia. Wamekuwa wakiiga model ya China ktk kwenda kila kona ya dunia ili kutafuta masoko na kuinvest. Ndio maana wamevamia hata bongo kwa kasi mno recently.
Kuhusu trip nyingi za waheshimiwa kwenda huko, hata sijui kunani, labda kuna mwenye nyeti atatujuza.
Wanakwenda kuficha pesa huko wote akina Mubaraak,Ben,Gadaffi, walikuwa na miradi mikubwa mikubwa huko na fedha nyingi waliwekeza huko pia ,sasa na akina Shein,Jakaya,Seif wataficha pesa zao huko,kwa sababu pamoja na kuwa ni nchi ya kiislamu lakini inamahusiano mazuri ya kidplomasia na west na America,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.