Long'ututi
Member
- Dec 5, 2010
- 41
- 4
Nimejaribu kulog in mtandao wa bodi ya mikopo toka alhamisi naambiwa nimekosea password wakati kiuhaki najua sijakosea. Wenzangu mnafanyaje kulog in?
Hawa jamaa wa HELSB nadhani hawakufaya maandalizi kabla ya kuanzisha hii OLAS, mwanzoni kabla ya matokeo ya F6 ilikuwa infanyakazi vizuri lakinio traffic ilipoongezeka wameshindwa kubeba mzigo na sasa ime-crash.
Sasa hivi vijana wanashinda kwenye ofisi za hawa jamaa na hawapewi msaada wowote; tena hawa wako Dar, sijui wale walioko mikoani wanafanyaje? Simu zao za customer care wamezima!
I can smell a rotten rat in all this OLAS business!