Recent content by maggy

  1. M

    JamiiForums Tanzania AMANI kupotea sababu ya IMANI za watu - Serikali isiyo na dini - KATIBA MPYA ISEME WAZI

    Inaonekana Katiba iliyopo inaruhusu Upotevu wa AMANI kuletwa na IMANI zetu! Katiba iweke wazi mambo yahusuyo dini. Iongee kinaganaga kuwa Serikali haina dini na wala haifuati dini yoyote na hivyo mambo yahusuyo dini kama hayataingizwa katika mufumo wa serikali. Pia katiba iweke wazi kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Jamani ndugu hakuna mtu anacho hicho kitabu aki scan ukirushe hapa??? Mmenikumbusha kipindi ndo naanza kujua kusoma nilikisoma hicho kitabu chaMwanamalundi:mtu maarufu katika historia ya Usukumani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Curriculum huandikwa? kama ndiyo naiomba (ya level yoyote)

    Msaada wenu jamani. Kuna dogo anasoma ualimu wa shule ya msingi na ameniuliza hili "Mtaala tunaona kuwa ni mpango ulioandaliwa kwa ajiri ya kufundishia na kujifunzia kwa lengo la kuwapatia walengwa maarifa,stadi na mielekeo. Je mtaala unaandikwa? Baadhi ya wakufunzi wanasema hauandikwi na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Data Procesing and Analysis using SPSS

    fundisheni software za bure kama R The R Project for Statistical Computing. Hawa ni watanzania mnaowatangazia hii habari ambao mifuko yao ni myeupe! Mnataka hata shilingi waliyonayo ya kusomesha watoto wao au hata wahitaji wanaowazunguka nayo wawapelekee wamarekani kisa eti hiyo SPSS? after...
  5. M

    JamiiForums Tanzania The Malawi-Tanzania Boundary Dispute Journal Article published in 1973

    kuna hiyo Thesis ya mtu pia imeangalia mgogoro huu
  6. M

    JamiiForums Tanzania The Malawi-Tanzania Boundary Dispute Journal Article published in 1973

    published by The Journal of Modern African Studies samahani wadau nimeshindwa kusoma na kuwapa summary ya kilichoandikwa. Ila naamini wapo wadau hii article wangependa kuisoma
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mama wa Liberia kaongea na wanachuo! JK level yake ni wazee wa Dar es Salaam tu!

    Angalia Rais wa Liberia kaja Tz kaongea na wasomi wa chuo. http://3.bp.blogspot.com/-IgKBVyhtlB0/UAbwJ60B2oI/AAAAAAAABjE/TOh7Uu2yCd8/s1600/IMG_1308.JPG Rais wetu sikumbuki kama alishawahi kwenda kuongea na wana chuo. Level yake ni wazee wa Dar es Salaam tu! Wamikoani pia hawawezi!! nawasilisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari kumbukeni Historia - Utumwa wa Kiarabu!

    Kumbukeni historia - nawashauri msitake kuruhusu Historia hii ya utumwa wa kiaarabu ijirudie. Kumbukeni pia wale wote mlio na rangi nyeusi mmetokea Tanganyika!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Gold enriching the West!

    Magamba jamani tumechoka!!!! Is British/Canadian desperation for Tanzanian gold a result of recession?-Africa Today-06-12-2012 - YouTube
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete umetutukana waongea kiswahili, utuombe samahani, Pole wana UDOM

    hahahaaa! ya ki Miss kwa ajili ya kuongea kwenye mashindano ya u miss lol! au wazee wa pwani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio safu ya wahadhiri katika chuo cha "informatics and virtual edcucation" UDOM

    Hakuna tofauti na wanafunzi wa A'level maana nao wanafundishwa na walimu wenye degree moja tu. Kazi ipo!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je ni mbunge yupi anayefanya kazi kwa maslahi ya jimbo lake na taifa zima kwa ujumla?

    Magufuli - Kuhusu jimbo lake: jimbo lake hata halitetei. Hajasikika akisema chochote kuhusu wananchi wake waliomleta bungeni kuwasemea. Asisingizie mambo ya uwaziri - wananchi wanamdai na hivyo watapima amefanya lipi jimboni mwake kama mbunge waliyemtuma kuwawakilisha. - kuhusu masilahi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    huyo mtoto wa mkulima naye zumbukuku, yeye ni PM anarudi akisema nchi masikini. Mbona anaacha wengine wanaendelea kuwa nayo? au hilo lake pekee ndo litaokoa nchi? Yeye ndiye mtendaji mkuu, kama anaona hilo si a ACT ili hayo madude yanayogharimu nchi yafutike tu! Kiboko yao Magufuli - jamaa wali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata tunzo ya UN kwa kutoa huduma bora kwa jamii!

    tena hilo Taifa la kesho mpango ni huu YouTube - ‪hakielimutz's Channel‬‏ watabofya hicho kideo kwenye bulakabodi wakiwa wameinamia vumbi wakiandika kama wanavyoonekana kwenye picha za Babu M. Watoto wanabusu vumbi masaa yote waliyoko darasani -unatarajia nini kuhusu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu na "Mheshimiwa Mbowe!"

    yaani huyo sista wangu nimempenda sana. Asante kutuletea hili,maana hata mie nilishaanzisha hili kwa shem wako. In one car sasa hivi, mambo ya kila mtu na gari wakati wote mwaelekea mjini hakuna. After all ni kwa faida yetu sote na familia nzima.
Back
Top Bottom