Curriculum huandikwa? kama ndiyo naiomba (ya level yoyote) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Curriculum huandikwa? kama ndiyo naiomba (ya level yoyote)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by maggy, Sep 13, 2012.

 1. m

  maggy Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaada wenu jamani. Kuna dogo anasoma ualimu wa shule ya msingi na ameniuliza hili

  "Mtaala tunaona kuwa ni mpango ulioandaliwa kwa ajiri ya kufundishia na
  kujifunzia kwa lengo la kuwapatia walengwa maarifa,stadi na mielekeo.
  Je mtaala unaandikwa? Baadhi ya wakufunzi wanasema hauandikwi na
  wengine unaandikwa. .naomba uniambie unavyoelewa"

  kweli hata mimi ni sawa na hao wakufunzi wake tu, maana sina jibu. Nilisoma kozi moja inaitwa Curriculum Development (CT200 au 201 kama sikosei) pale UDSM. Lakini kweli sikuwahi kuhangaika kujiuliza swali analouliza dogo. Na kweli ukiangalia sijawahi kuona Curriculum in a written form (kumbuka Curriculum siyo Syllabus!).

  Naombeni msaada kwa anayejua. Najua kabisa kuna Lecturers wa hizo kozi kwenye hili jukwaa. Naomba jibu jamani. Hawa jamaa Tanzania Institute of Education nao kwenye site yao hakuna chochote. Wametoa list tu ya syllabus basi.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  If you are to agree to understand curriculum as 'all planned and unplanned learning experiences...' there is every possibility that written curriculum does NOT exist in the actual sense of the word "written". During the course of schooling a child might learn punctuality (as a result of the influence of the teacher or school timetabling), a value that isn't necessarily a part of the 'written' curriculum.

  But we have to be wary in using the term as there exists a type of curriculum called 'written' curriculum. Now, the written curriculum as a type of curriculum refers to 'documents, courses of study or syllabi that are handed down to schools/colleges for implementation, usually made by curriculum experts and supervised by MoE or its agents.'

  Inferring to the above two explanations, it is not necessary for curriculum to exist as written document (I think this is what is thought of when talking of 'written' curriculum) as there are thing a learner may learn as the result of schooling that are not part of what is planned for. But 'written' curriculum exist in its own right as a type among many of curriculum.
   
 3. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  yaani wewe ndio hujajibu chochote, ondoa upumbvu wako, nyie ndio wale vigogo wizra ya elimu

  mnatengewa billions muandae mtaala kumbe currilum ni syllabus, ona ulivyozunguka zunguka

  ulitaka uonyeshe kiingeleza chko cha WIZARANI?

  ULIELETA UZI BIG UP, swali zuri, kuna wanaorukia kujibu upumbavu wao, ona huyo kihiyo :spy:  curriculum may also refer to a defined and prescribed course of studies, which students must fulfill in order to pass a certain level of education

  Curriculum - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 4. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nadhani anamaanisha formal and informal curricula.formal ni ile ambayo iko planned by a group of people(panel),to meet required and necessary needs,hii ninaweza nikafananisha na hiyo unayoiita ya kuandikwa.inakuwa na mgawanyiko kwa mfano,somo,topic,chapter na kadhalika.informal curriculum ni ile ambayo is not planned and it's randomly done,kama watoto kujifunza kombolela shuleni,haipangwi,inatokeaga tu yenyewe........hiyo ni kwa perspective ya formal na informal,ukichunguza zaidi,utagundua kwamba classification ya curricula iko very wide,kuna explicit-ambayo ndio mara nyingi hutumiwa na waalimu mashuleni(miongozo ya waalimu),implicit/hidden-hii haiko direct,kwa mfano mwalimu kukaa mbele ya darasa na kuongea,inaonyesha kwamba ana authority,na yeye ndiyo center of attention,hii inakuwepo wanafunzi wanapoweza kutambua kwamba mwalimu ni muhimu kwao,kwa mfano,sauti anayotumia mwalimu,muda anaotumia kuwa na wanafunzi,na jinsi anavyo-behave mbele ya wanafunzi,aina ya tatu ya curriculum ni Null curricullum-hii inahusisha mambo yote ambayo hayafundishwi darasani......nimejaribu kueleza kama nielewavyo,kama nimekosea mahali mnirekebishe,ila nakushauri pia,usome vitabu,na kuna resources kibao kwenye internet,make good use of it......kila la kheri.


  ***my take-naona inayoandikwa ndo formal, na explicit,hizo aina zingine zote haziandikwi
   
Loading...