Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,566
- 7,812
Hii issue ya Lake Nyasa ni ya kisiasa zaidi, la sivyo katikati ya ziwa ndiyo mpaka unaotambuliwa. Mwingereza hakuwa na mamlaka ya kubadilisha mpaka huu baada ya 1914, kwa sababu alikuwa ni mwangalizi tu chini ya Umoja wa mataifa, na chochote (kisheria) ambacho alifanya on behalf of Tanganyika ilibidi kikubaliwe na League of Nations/UN.