Mama wa Liberia kaongea na wanachuo! JK level yake ni wazee wa Dar es Salaam tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama wa Liberia kaongea na wanachuo! JK level yake ni wazee wa Dar es Salaam tu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maggy, Jul 18, 2012.

 1. m

  maggy Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Lenja

  Lenja Senior Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umeshika pabaya, mwanawane...........Hili swali nshajiuliza mara nyingi sana bila jibu.Nshukuru kuuliza labda wanaJF wanaweza tukumbusha ln huyu bwana kaongea na wanazuoni????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa porojo zake hataweza jibu maswali ya wanazuoni
  Kashazoea kudanganya wale vikongwe wasiojua wako wapi na wanakwenda wapi
   
 4. G

  GWAMWAJA Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...atawaambia nini hasa pale mlimani mgodi walipotoka zito,silinde,nasari,mnyika......and others you name it.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  kwa wasomaji wa kitabu cha vitabu....mfalme selemani alikuwa na shauri juu ya watu walioomba kupunguziwa kongwa....! naye akaongea na WAZEE na pia VIJANA.....!
  Kwa "busara" za vijana akaona ni vyema afuate ushauri wao kwani ni wasomi,wenye nguvu na pia wanaenda na wakati!
  Hebu wanazuoni wa kitabu cha vitabu watusaidie
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kuna methali ya kiswahili inasema..... "KITANDA USICHOLALIA HUJUI KUNGUNI WAKE"
  je mheshimiwa hicho kitanda amekilalia??? na kama ndiyo au hapana methali hiyo imesheheni ujumbe!
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Vuguvugu zote za mabadiliko chanya na kinyume chake huanzia vyuo vikuu! Nilitegemea viongozi wetu wangekuwa wanaendesha midaharo tena ya wazi siyo kutusubiri tu wakati wa kampeni za uchaguzi nakuanza kutulopokea, ooj nitejenga zahanati (pesa utaitoa wapi wewe kama siyo mwizi na muongo, sema utahamisha na kusimamia ujenzi wa zahanati nk).
  Nilitembelea chuo kimoja nchini hapa nilipo sasa, msemaji mmoja akawa anajisifia! "We are proud of our university for being the only university with more than 300 professors across this country who studied in this university. Their contributions to the country's development is unxplainable. We also have more than 15 members of parliament in Tanzania who studied here and they are very good leaders.
  Sasa nikawa najiuliza, hivi viongozi wetu wao ni kina nani mpaka wawe na kiburi cha kutochota mawazo ya wasomi/wanazuoni kutoka vyuo mbali mbali vya hapo nchini? Open the door through various research watu muone kama hatujatengeneza magari yanayoendana na hali ya nchi yetu.
  Kurusha chombo mwezini si kazi ya mtu mmoja, ni ushirikiano unaokuwapo kati ya fani mbali mbali mfano: Politians, Engineers, Financial controllers, HRs, MDs, nk. Hivyo hivyo katika project yeyote ile iwe ya kukuza uchumi, kujenga daraja au hata kujenga soko lenye kuvutia na lenye kiwango cha juu lazima uwashirikishe watu wenye taaluma sahihi. Bila hivyo, utakuwa unarudia rudia kufanya kitu kile kile bila kufanikiwa.
  My dear leaders of this country, stop greedy! fanyeni mambo yatakayokumbukwa daima na watu wote. Siyo kujenga mashule yatakayodumu miaka 20 then watu wanaanza kujenga tena.
   
 8. m

  mjanjamimi Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
Loading...