Recent content by madream

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huku ni kuharibiana maisha

    Namini kabisa hii inapelekea watoto wengi kukosa malezi bora.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haujajiweka tayari kuwa baba lakini unataka mtoto?

    Nilikuwa naakiri zakuwamini hawa ndugu zangu yaliyonikuta yamenifanya nisimwamini mwanamke yeyote atakekuwa mke wangu, au mpenzi wangu
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    Kwa wakazi hasa kanda ya ziwa nilikokulia mimi nimeshuudia watoto wakivua wakiwa na umri huo
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa: Upangaji wa nguo chumbani

    Kwenye sox apo nibonge ya mtihani.ata ninunue pea tano najikuta kila pea imebaki moja nyingine ishapotea.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuwa na mtoto ni lazima?

    Sijawai ona mandiko kwenye Bible yanayomhukumu mtu asiyeta kuoa.sijui wewe unasemea Mungu yupi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

    Mala ya kwanza kukutana nae ilikuwa ni koko bichi,washikaji wakapakazia wakasema we ni bichi nikapiga moyo konde tabia nitakulekebisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Natamani sana kupata vitabu vyake.kwa sasa naishia kuangalia mafundisho yake.msaada kama vinapatikana
  8. M

    JamiiForums Tanzania TIA-wanafunzi wazuiwa kufanya mitihani yao ya semister

    Nimemaliza TIA 2010 kuzuiwa kufanya mtihani ilikuwepo adi ulipe ada.nami yalinikuta semista ya mwisho nilizuiwa kufanya mtihani adi nimalize ada.so nikasubilia adi nilipolipa ada.elimu ya kitanzania ndo ishakua hivyo akuna anayemsikiliza tena mtoto wa masikini .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

    Kwa sh 17000 usiwalushe watu eti unangalia vyote wanaonesha mechi moja tu.nimelala mechi yapili hawaoneshi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NBAA yametoka

    Kwa wale waliofanya mitihani ya nbaa matokeo tayari wakuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola

    Waafrika sijui tumeikosea nini hii dunia.tuombe Mungu atuepushe nahaya mabalaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Labda mwenzetu waishi marekani.tz kama kawa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Hi kitu ni ballaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    Nssf wanakera fanyakaz wao tafikiri umenda kuomba Masada kumbe unafata chako.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fanya lolote utakalo ndotoni-lucid dreams

    Natamai kufahamu zaidi mkuu
Back
Top Bottom