ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,772
- 5,847
Hii ni hadithi yangu fupi iliyonipelekea kuweza kukontrol ndoto tunazoota usiku ability itakayokufanya kupaa, vilema kutembea ndotoni, na kukabili ndoto za kutisha.
Siku moja nilikuwa nimeenda kikazi Iringa kutokea Dar, nikalala gest moja pale mjini, kiukweli siku hyo niliota ndoto ya kuogopesha. Nilikuwa naota nimelala halaf mtu wa ajabu akanishka mkono, ile hofu nkastuka nimeamka na alinishika mkono alikuwa ni ndugu yangu marehemu. kuamka nikajikuta nipo nyumbani, mimi ,baba na ndugu zangu kaka/dada, tunaendeleza maisha kama kawaida, kumbe wakati naamka niliamkia ndotoni (false awakening) na wala sikujua na sikukumbuka kama ndugu yangu alishafariki. Mda ukapita kidogo nikaamka tena mara ya pili kwenye reality. Nikaja kumbuka yule ndugu yangu alifariki , saa 8 usiku hiyo. Nililia sana mwanaume kwa masaa 3+, nilijua mzimu.
Baada ya kuona hvo kama kawaida Watanzania nikaanza tafuta majibu kwanini hiwe ivo, nikaingia google. Nikaona huku watafiti wamestate aina tofauti za ndoto na ile yangu wakaiweka ni ""dream in a dream"" yani wanadai mtu huota hii ndoto kwa ajili ya protection, wanadai ingeniathiri kisaikolojia kama ningeota marehemu kanishika mkono ambapo ningeamka nisinge mkuta, ndo mana nikaota ya pili ndo nikaamka atleast niliona ni valid.
Tuje kwenye maada kuu. Katika kutafuta majibu google, walielezea aina moja ya ndoto inaitwa "LUCID DREAM" Lucid dream ni pale unapoota ndoto na kutambua sasa upo ndotoni, wataalamu wanadai ukiweza ukaota ndoto na kugundua unaota kabla ndoto haijaisha unakuwa na uwezo wa kukontrol ndoto yani una uwezo wa kupaa kama ndege, una uwezo wa kwenda nchi yeyote, una uwezo wa kukutana na mtu yeyote, kufanya mapenz na mtu yeyote duniani, kama ni kilema utaweza kuwa na miguu na kutembea. watalamu wanadai lucid dream unaweza kujifunza/learn.
Pitieni google mjifunze zaidi, mi mungu amenisaidia kuweza kujifunza lucid dream, na ndoto nilizocontrol chache ni hizi;
1. Nimeshafanya mapenzi na msanii jokate mwigilo kupitia lucidy dream
2.nimeweza ongea na kuonana na Kikwete, Obama.
3. Nimeshapaa kama ndege
4.jana nilipambana na ndoto ya kutisha bila kuogopa.
5. Nimemiliki majumba makubwa
6. Nimetembea na mfanyakaz wa offsini kwetu, nilimwita jina tu akaja.
Yani kiufupi ni unique na amazing experience. Tafadhali pita google ukajifunze hii kitu, hata ukitaka nini unapata, chochote, una uwezo hata wa kuua adui yako, nishaua mtu kupitia huku. I hope u learn