cellinityo-murdch
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 190
- 23
kila mtu yuko huru kufanya anavyotaka ilimradi asivunje sheria kwa sababu mlezi ni wewe na umejiona hauko tayari its oky kuliko kuzaa then waje kupata shida duniani xo gud luck
Habari zenu wadau,
Nilikua nahitaji mitazamo yenu kuhusu kuzaa watoto, je kuna ulazima wa kuwa na mtoto hapa duniani hata kama umeoa? Binafsi mimi sipendi watoto na sina mpango wa kupata mtoto hata kama nikioa nitatafuta ambaye mgumba au mwenye malengo kama yangu.
Sababu kuu ya kufanya hivo ni kua watoto ni energy, time and money consuming plus wanaleta stress tu, nataka maisha ya kua free sitaki majukumu yanaoweza kunihold back katika mambo yangu. Je, jamii inalichukuliaje swala hili? Naamini sipo peke yangu mwenye mawazo kama haya.
Karibuni wadau mtoe mitazamo yenu
wala usijishughurishe na kuzaa...kikubwa tuombeane uzima hadi tufike 90'sni kweli mkuu,inauma sana nikiona hivo tena mtu anasema anataka kuacha jina hapa duniani akifa..
Habari zenu wadau,
Nilikua nahitaji mitazamo yenu kuhusu kuzaa watoto, je kuna ulazima wa kuwa na mtoto hapa duniani hata kama umeoa? Binafsi mimi sipendi watoto na sina mpango wa kupata mtoto hata kama nikioa nitatafuta ambaye mgumba au mwenye malengo kama yangu.
Sababu kuu ya kufanya hivo ni kua watoto ni energy, time and money consuming plus wanaleta stress tu, nataka maisha ya kua free sitaki majukumu yanaoweza kunihold back katika mambo yangu. Je, jamii inalichukuliaje swala hili? Naamini sipo peke yangu mwenye mawazo kama haya.
Karibuni wadau mtoe mitazamo yenu
Ee! Mwenyezi Mungu Msamehe M2 Huyu! Hv Wewe Kama Babayako Angekuwa Na Akili Chafu Kama Ya Kwako Leo Hiwewe Ungekuwepo!!!! Kaa Chini Utafakali Kwanza! Au Wewe Ni Hanic Nn! Unaamua Kuanza Kujitetea Mapema!
Ni lazima ndio maana wewe ukawepo, wazazi wako wasingeona kuna lazima wewe ungekuwepo