Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
PSPF ni best ikifuatiwa na LAPF, NSSF ni majanga utajuta, kama unabisha jiunge utanipa majibu
KAMA MNAFATILIA MASUALA HAYA KWA MAKINI MSNGEMCHAGULIA MFUKO KUANZIA JULAI 2014 NA KUENDELEA MTUMISHI/STAFF YEYOTE ANAYEJIUNGA NA MFUKO WOWOTE WA HIFADHI YA JAMII i.e PPF..NSSF..PSPF..LAPF n.k Formula ya kukokotoa mafao ni moja hakuna atakemzdi mwenzake mafao kwa sababu regulator wa mifuko /na wizara ya kazi na ajira wamesha harmonize formula na kuwa moja.....ila kwa watu walioajiriwa nyuma ya Julai 2014 mafao yatatofautiana....so zaid utakachopata labda ni mkopo wa nyumba i.e ppf..nssf lakni kuhusu mafao ni same kwa mifuko yote...kuhusu nssf kukwatwa 10% na mwajr kulipa 10% inategemea mfani ofs ninayofanya kazi uwe ppf..nssf..pspf etc mwajir anatulipia 15% na staff anachangia 5% na ni taasisi ya umma so inategemea upo wap