Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 668
- 347
uganda wanaonyesha afcon yooote wenye zuku tunakula vitu laiiiiiiiniFOX SPORTS hawaonyeshi AFCON bhana acha kudanganya watu, labda UBC wanaweza kuwa live na kama kuna mtu aliongeza chanel ya ziada ya RTVGE kupitia azam tv yenyewe itakuwa live kwa game zote.