Wale wala rushwa wajisalimishe? Aliwaona? Kwa staili hii rushwa ingekwisha nchini, kuagiza tu kwamba wala rushwa wajisalimishe, waje, waniletee majina, nk, halafu... wanakuja? Utendaji gani huu, hapo Mwakyembe ameteleza, tena sana. Wajisalimishe? Kwenye hiyo treni aliyopanda hapakuwa na polisi...