Dr. Mwakyembe apiga mkwara kwa wahusika reli ya kati

I always wonder what Tanzanians really want their Govt to do coz whatever is done to them is nothing!

You don't know?, There is a sence of dissatisfaction on last elections' results (2010) so they want Government to step down. This is the only thing Government can do to satisfy them! You can see, they always happy when leaders resign or terminated!.
 
Uhuru unawachefua now...unajua ulichoongea ndio napita kila kona kwa gharama zangu kuwaelewesha uzuri wa nchi hii...tusaidiane hawajui kabisa thamani ya nchi yao.
 
Wale wala rushwa wajisalimishe? Aliwaona? Kwa staili hii rushwa ingekwisha nchini, kuagiza tu kwamba wala rushwa wajisalimishe, waje, waniletee majina, nk, halafu... wanakuja? Utendaji gani huu, hapo Mwakyembe ameteleza, tena sana. Wajisalimishe? Kwenye hiyo treni aliyopanda hapakuwa na polisi? Aliwaona ama ni hisia tu? Waziri gani huyu Mungu wangu!
 
I always wonder what Tanzanians really want their Govt to do coz whatever is done to them is nothing!

Yeaah! it's true that whatever is done to them is nothing because what is done is done for their own interest. not for the tanzanians
 
Tofauti kubwa iliyopo kati ya serikali makini na serikali ya magamba ni kauli tata zinazohusu matukio (events) badala ya utekelezaji makini wa masuala ya kitaifa usio na kauli bali matendo. Dr. mzima kaingia kwenye mipasho subiri baada ya wiki moja yote yatakuwa yamesahaulika hata na yeye.

Serikali ni mfumo wa utendaji wala si maelezo kuhusu kashfa moja baada ya nyingine kwa miaka nenda rudi. Kwenye wenye akili hii ni failure dhahiri ya CCM na serikali yake.
 
Hawawezi kujitokeza kamwe mpaka hiundwe tume,.

Chezeaa magamba weyyyyeeeee
hatoki mtu blila tume kuundwa
 
Tofauti kubwa iliyopo kati ya serikali makini na serikali ya magamba ni kauli tata zinazohusu matukio (events) badala ya utekelezaji makini wa masuala ya kitaifa usio na kauli bali matendo. Dr. mzima kaingia kwenye mipasho subiri baada ya wiki moja yote yatakuwa yamesahaulika hata na yeye.

Serikali ni mfumo wa utendaji wala si maelezo kuhusu kashfa moja baada ya nyingine kwa miaka nenda rudi. Kwenye wenye akili hii ni failure dhahiri ya CCM na serikali yake.
Sioni ubaya. Kaona sehemu ina tatizo na akisema akurupuke kuwang'oa watu basi wa kwanza atakua bosi wa shirika hilo(collective responsibility) Kwa agizo hilo lazima watafutane wenyewe kwa wenyewe. Hakuna hata haja ya kuunda tume
 
my dear, huwezi ku-rebuild trust kwa kumpa muda mhalifu namna hiyo, kumbuka kuna idara za serikali zinalipwa usiku na mchana kufanya kazi yao, sasa wewe kutoa notisi tu, hauoni kwamba kama ingekua rahisi hivyo tungefuta takukuru, mahakama na polisi pia?? hauoni kwamba oda ya mwakyembe ni kituko?

Mie nadhani ni athari za dawa anazotumia .... karopokwa
chuki binafsi at work. watanzania bwana!!!!
 
chuki binafsi at work. watanzania bwana!!!!

you dont know how system works, you want everyone to trust adhoc matamko and expect to build a sustainable system... what a waste of young blood, what a loss

CCM watatawala milele kwasababu ya watu wanaoshabikia matamko, maagizo na misemo isiyoangalia principles zinasemaje.

Kama kibaka anachomwa moto, kwanini wezi waserikali wapewe notisi??? where is social justice and fairness?/

How many matamko tumeshasikia hapa nchini?? Janga alisema anawajua wauza unga na wajiandae wajisalimishe... when was that??
when was EPA issue opened to public
where is radar money
vipi kashafa za mkonge
why are not asking questions about DOWANS?
did you ever see barabara ya kilwa imeanza kurekebishwa kama lilivyokua tamko la waziri??

you need to get a good lesson of public accountability and how we can build the system

BTW: chuki ya mama yako... at work
 
Back
Top Bottom