Nape, Ungekuwa upande wa upinzani tungekuelewa, sasa wewe upo karibu na Rais, unashindwa nini kumueleza haya na makachukua hatua? ina maana huku huthaminiwi?
Pamoja na kuwa umeleta hoja ambayo in a mshiko, viongozi wengi walio ndani ya nyinyiem hawawezi kupisha sheria kama hizo kwa sababu wanajua watakuwa kwanza kukamatwa nayo.
Mfano ni mbunge wenu wa Bahi kuomba rushwa na kukamatwa kirahisi. Mi ndo ningekuwa kikwete, yaani ningeagiza kesi hiyo iishe ndani ya wiki mbili na jamaa afungwe. lakini sasa kama wewe mwenyewe ulivyoainisha kesi za mwaka 2024 bado hadi leo. hebu fikiri, whay are you there Nape, mnafanya nini. au mnaogopa hao jamaa watawataja kuwa walikuwa wanakusanya mapato ya chama kwa ajili ya kuchakachua
In short hayo yatawezekana tu ccm ikitolewa madarakani, that what I can say Nape.
Nape kama hutaki kujibu hoja hizi zinazotolewa uzi wako unakosa maana yake. Jibu hoja mkuu, siamini kama husomi hoja hizi na siamini kama huna majibu yake. Hata kama jibu ni serikali ni goi goi Just say it.