Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
leo ktk kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni. Mbunge mmoja wa Zanzibar alivilaumu vyombo vya habari kwa udini uliokithiri alipouliza Mh Pinda kuhusu yaliotokea zanzibar na uripotiaji wa habari hiyo kwa magazeti

"Mh Waziri Mkuu, Hivi karibuni palitokea Vurugu Zanzibar, Lkn Cha ajabu vyombo vyetu vya habari viliegemea tu Uchomaji Makanisa huku hata baadhi ya misikiti iliharabiwa na baadhi ya watu, Lkn vyombo kwa makusudi vilificha HABARI HIYO.
jee Mh unashauri nini kuhusu vyombo vyetu vya habari kwa kubase zaidi Upande mmoja huku matokeo kama hayo ya Vyombo vya habari ndivyo vilivyosababisha mauji ya Kenya na Rwanda?

MY TAKE.SIPENDI UDINI LKN KWA MTITIRIKO HUU KWELI VYOMBO VYETU HAVITAKUWA BIAS?
JAMBO LEO
Muhariri Mkuu: Willy Edward (mkiristo)
Muhariri wa habari: Julian Msacky (mkiristo)
TZDAMA
muhariri Mkuu:Absolume Kibanda (Mkiristo)Ambae pia ndio Mwenyekiti wa JUKWAA LA HABARI
Muhariri Msaidizi: Albert Ngurumo (mkiristo)
MWANANCHI
Muhariri Mkuu: Theophil Makunga (mkiristo)
MAJIRA:
muhariri mkuu mkiristo)
MTANZANIA
muhariri mkuu (Mkiristo)
Habarileo: John (Mkiristo)
Daily news
Mhariri mtendaji wa gazeti la the guardian on sunday, Richard Mgamba
. Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Jose Kwayu
JEE HAWA WANAWEZA KUONA KASORO HIYO?
Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi : hivi karibuni amekabidhiwa PHD ya Biblia
.Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga
 
Utendaji wa watendaji wengi wa wenzetu wabase zaidi ya dini yao, na sio nchi yao
 
Kumbe kuna msikiti uliharibiwa? Mbona habari mpya? Hamna gazeti wala tv wala hata jf yenyewe walireport!
 
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar nayo ilisahu kutaja misikiti iliyochomwa?

Pia huyo mbunge wa Zanzibar akumbuke uchomaji wa makanisa upo tangu mwaka 2001! Mbona hatukusikia chochote kutoka kwake au kwa sababu this time UAMSHO walichemsha?
 
Ni kweli, mimi ni Mkristo lakini sikufurahishwa na jinsi vyombo vyetu vya habari vilivyosambaza habari za vurugu za Zanzibar. Hivi waandishi wetu wakoje? Ni rahisi sana kumgundua mwandishi shabiki wa CCM, CDM, Yanga, Simba na pengine hata kabila lake. Ingawa bado kuna watanzania wanafurahishwa na habari za aina hii (za upendeleo) kama vyombo hivi havitadhibitiwa vitaleta maafa. Lazima
 
Uamsho waliposema Tunisian Serikali kuwasaka wote waliofanya fujo walikuwa na maana yao, mapunguani wengi hawajawaelwa kwa kuwa tu wanasoma magazeti ya makanjanja.
 
serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar nayo ilisahu kutaja misikiti iliyochomwa?

Pia huyo mbunge wa zanzibar akumbuke uchomaji wa makanisa upo tangu mwaka 2001! Mbona hatukusikia chochote kutoka kwake au kwa sababu this time uamsho walichemsha?
leo kweli wahahariri wameumbuka. Mbunge ameuliza hivi hawa wahahariri wanadhani watz ni wale 90 kwamba kanisa ndio tz?
 
Ni kweli kabisa hayo aliyosema Mbunge. Na ni kweli kuna Misikiti ilipigwa mabomu, lakini habari zake zilifichwa kwa makusudi. Wapi tunaelekea Watanzania?
 
Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.

kwa mara ya kwanza kusikia huu msamiat ni kwenye hotuba ya JK wakat akizindua TBC,alimaanisha na ni kweli MAKANJANJA WAPO TELEEEE
 
Msikiti ULIPIGWA MABOMU NA POLICE tena kwa MAKUSUDI, lakini habari hii ilifichwa , Tanzania sijui inaelekea wapi!
hivi kwa akili yako msikiti kupigwa bomb na polisi, na kanisa kuchomwa na waislam unauna ni vitu vinavyoelekeana?....kwani hao askari wa zenji si waislam karibia wote?...unajua wazanzibari akili zao ni mgando hawatakuja wapate akili ya kufikiri hata siku moja, yaani hata ukitaka kumharibu mtoto wako mpeleke shule yeyote ya zenji, atarudi akili zote ameziacha amekuwa kopo..hata waelimike namna gani, akili inabaki palepale...mbumbuumbu....
 
leo ktk kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni. Mbunge mmoja wa Zanzibar alivilaumu vyombo vya habari kwa udini uliokithiri alipouliza Mh Pinda kuhusu yaliotokea zanzibar na uripotiaji wa habari hiyo kwa magazeti

"Mh Waziri Mkuu, Hivi karibuni palitokea Vurugu Zanzibar, Lkn Cha ajabu vyombo vyetu vya habari viliegemea tu Uchomaji Makanisa huku hata baadhi ya misikiti iliharabiwa na baadhi ya watu, Lkn vyombo kwa makusudi vilificha HABARI HIYO.
jee Mh unashauri nini kuhusu vyombo vyetu vya habari kwa kubase zaidi Upande mmoja huku matokeo kama hayo ya Vyombo vya habari ndivyo vilivyosababisha mauji ya Kenya na Rwanda?
mbo shein alipokuwa akiongea hakuongelea kama kunamisikiti iliharibiwa,hata jeshi la polisi halikusema habari ya misikit.au nao ni vyombo vya habari???
 
Msikiti ULIPIGWA MABOMU NA POLICE tena kwa MAKUSUDI, lakini habari hii ilifichwa , Tanzania sijui inaelekea wapi!

Kama ni Police ndio walipiga mabomu msikiti basi hakukuwa na haja ya kureport, sababu tulichokuwa tunapaswa kufahamu ni athari zilizosababishwa na raia ambao ndio walikuwa chanzo, Kama maelezo yako ni kweli, sababu wewe nae sikuamini amini, basi mbunge huyo ndio atakuwa ana tatizo la udini, sababu anafikiri kwamba kama ingerepotiwa basi ingekuwa rahisi sana kujustify kwamba makanisa hayakuchomwa na waislamu, bahati nzuri vyombo vya habari havikuingia kwenye mtego huo.
 
Mbona rais wa Zanzibar alipoadress juu ya machafuko Zanzibar hakutaja msikiti ulioharibiwa naye anapendelea upande mmoja tu?
 
Makanisa yalichomwa na wana Uamsho kwa minajiri ya kuwaadhibu wakristo na kuhimiza kuvunjwa muungano na msikiti ulipigwa na polisi kutuliza ghasia! Huoni tofauti hapo?
 
Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja...umeishaona wapi muandishi wa habari mkereketwa wa chama cha siasa.

Mkuu umeongea jambo ambalo wengi hawalioni. Unapoongelewa habari maana yake ni kuandika matukio kama yanavyotokea. Lakini waandishi wengi kwa uvivu wamekuwa ni watu wa kuandika na kutangaza OPINIONS zao. Utamkuta mwandishi wa habari anashadadia chama cha siasa katika presentation zake kuliko kitu chochote. Mchezo huu upo kwa vyama vyote japo CCM wanaongoza hasa kwa kutumia TBC1. Kitendo cha JK kuchukua wanahabari na kuwazawadia ukuu wa wilaya kinafanya wengi wao waone njia pekee ya kufikia ndoto kama hiyo ni kujipendekeza kwa watoa MAFUPA ili nao wanaweza kutupiwa siku moja.

Hii dhana ya OPINION as NEWS imeodoa kabisa dhana ya habari Tanzania, wengine hata hawatumwi wala kuombwa ila utawasikia wanatoa povu kutetea CCM. Mi siku hizi naangalia CNN, BBC, Aljazeera na vyombo ambavyo at least vinaonesha impartiality kwenye taarifa zao. Japo hawa nao kwenye vita huwa waongoooo!.
 
Back
Top Bottom