TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
- Thread starter
- #21
DALLAI LAMA, Mungi na Mzee wa Usafi, kuna hoja hapa naombeni mje muondoe Contradiction. Mshikaji wangu chaArusha anasema hawana undugu wowote sasa sijui anatudanganya au anasema ukweli.Wakuu, hawa jamaa hawana undugu wowote wa damu. Ingawa ni kweli wote ni wahaya wa Bukoba, lakini hawana uhusiano. Muhingo ni mwenyeji wa Misenyi na Salva anatokea Muleba. Wote wamewahi kufanya Habari Coop, mmoja akiwa mmiliki (Salva) mwingine akiwa mwandishi ila wote ni watu wa kaka mkubwa!
TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com