Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Yaani wengine hawana isipokuwa umbutwai ,hivi ikiwa kwa mawazo yako Zenji ni kama wilaya ,sawa hilo halina shaka ni kama kaeneo flaniflani hivi ni kanchi kadogo sana ,ila Tanganyika ndani ya India inaweza kuwa kama kijiji cha India ndani ya India labda tuseme pengine ni kama Kerala ,sasa huoni kama unajidharaulisha kwa kutokujua kama nyama si mboga ? Ila Samaki ni nyama kama ilivyo ya ng'ombe au kuku. Hivyo Zanzibar itabaki kuwa Nchi kama ilivyo Tanganyika.
Ukifananisha na Kerala utaona Kerala ni kubwa sana. Hii labda tuseme ipo sawa ka Cochin tu.
Vile vile Tanganyika si nchi bali Zanzibar ni nchi. Tanganyika imejitwalia jina la Tanzania na kulikana jina lao la asli.
Nimepanda sana uchambuzi wako. Allah akubarik sana