Recent content by luye25

  1. L

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Nashindwa kabisa kuelewa ilikuaje mhimili wenye mamlaka ya kutunga na kupitisha sheria kuipitisha sheria hii.ina maana sheria hiyo ilipitishwa bila kujadiliwa???maana ni wazi kabisa imewekwa kuwanyonya wananchi waliokuwa wakifaidika na mfuko huo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Inauma sana!

    Acha tu charminglady yamemkuta mtu wangu wangu wa karibu alikua anaona kama utani.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Inauma sana!

    Inauma sana kuona mwanmke/mwanaume aliyekuwa mpenzi wako wa zamani ameolewa/ameoa mtu mwingine wakti ulikua unahisi ipo siku mtarudiana na kuwa pamoja milele!!!!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je unalijua hili kwenye mapenz?

    hahahahahaaaaa!!!!!u made my day!!!:israel:
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa akina dada tu

    Wanawake ni viumbe vinavyopenda kubembelezwa kususa kwao ni ili wabembelezwe jamani.sasa utakapojifanya na ww hujui kubembeleza hapo ndo kazi itakapokuwepo ila kwa wenzangu na mm ni kujishusha tu mapemaaa.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hakika ng'ombe wa maskin hazai

    We kihaluja kwani mwenye thread kakuomba umsaidie kumjibia maswali??yy yuko seriaz na situation alonayo afu we unaleta mzaha kama unataka mzaha na senetor si uanzishe thread yako???
  7. L

    JamiiForums Tanzania World Vision Tanzania VS Tabia za ngono

    Acha uzandiki nimefanya kwenye hilo shirika miaka mingi na sehenu tofauti sijalishuhudia hilo.Usilichafue shirika hilo bureee!!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Ewe Mungu saidia nchi hii huyu ****** anatupeleka pabaya!!!!sidhani kama atafika 2015 kushuhudia anguko takatifu la magamba!!!
  9. L

    JamiiForums Tanzania ah!!!! Jaman yamenikuta msaada plz

    Na wanaotembea na wanaume za watu wakijua kabisa wameoa na wanajiweka hapo kabisa.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa Mariedo Limited

    liwalo na liwe!!!!!!!!!!!!!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Kikwete wana silaha za kutosha?

    kajaribu kuvamia ndo utapata jibu la uhakika!!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Yupi anajua kuuchuna??

    JUHA; Nilimpigia simu mke wangu akapokea hakusema 'hallow' nikauchuna sikuongea mpaka pesa zote zikaisha!! ZOBA; Niligonga mlango mke wangu akafungua hakusema karibu nikasimama palepale mlangoni mpaka kesho yake nikageiza nkaondoka!! ZUZU; Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenzi nimegoma...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mtizamo tofauti kuhusu kipigo kwa Dr Ulimboka

    Watu wengine bwana kweli kimtokacho mtu mdomoni ndo kilichomjaa moyoni.hovyoooo!!!!kashasema ni mtazamo wake we unatanguliza jazba!!!!:boxing:
  14. L

    JamiiForums Tanzania Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

    Sio shabiki wa siasa ila inasikitisha sana kuona watu wengi wanachangia kwa ushabiki tu.inadhihirisha kwamba hawafikirii siasa ni mchezo mchafu siamini kama cdm italeta mabadiliko ambayo yatashangaza wengi itakua the same story.Naunga hoja 100% kuwa ipo siku vijana wataigeuka CHADEMA kama...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kweli Lema ni kiboko

    Chadema kinakubalika hilo sina ubishi nalo lakini ni wakti sasa wa viongozi wake kuwa makini sana na maneno wanayoyatamka hadharani..:peace:
Back
Top Bottom