Ufisadi mkubwa Mariedo Limited

Aisee Magwepande umenifungua macho. Kweli Tanzania tumekwisha. Yani tumekwisha kabisaaa.. Huyo Mary Amri na wenzake wenye tabia kama yake wachukuliwe hatua kali sana. Tuna kushukuru Mkuu kwa kutufungua masikio.
 
Mat*ko ya mama yake. PIA home Shopping Centre hakuna risiti za TRA na TRA wanajua ila hakuna anaethubutu. Jiulize ni mkono wa nani huu
 
Taarifa mh. Mwenyekiti: Hakuna taasisi ambayo wafanyakazi wake wanakula rushwa kama tra!!

Source: Mapato kidogo
 
Inaonekana jinsigani watanzania tunashindwa kupigahatua mbele kwa kuoneana aibu kuelezana ukweli, Tukianzana kwetu tuanaelekea kwa wageni.
 
Tafadhali wewe uliyeandika unaushaihidi au ni majungu tu ,Tafadhali jammii forumi itumike vizuri siyo kwa majungu.w ondewe ukidaiwa ushaidi utatoa kama huna ondoa
 
Tafadhali wewe uliyeandika unaushaihidi au ni majungu tu ,Tafadhali jammii forumi itumike vizuri siyo kwa majungu.w ondewe ukidaiwa ushaidi utatoa kama huna ondoa
 
bora mariedo analipa walau hiyo kidogo,mohammed ent anaingiza meli nzima sukari,ngano,cement bila hata senti
 
Ni vizuri tukajua kuwa mkwepa kodi yoyote huko kwa wenzetu hufungwa au kufilisiwa bila huruma kwa maana huyu anaikosesha mapato serikali na matokeo ni kudorora kwa huduma za umma.Napata wasiwasi kuwa Nndondo anafaidika mno na mapato ya Mariedo kiasi cha kupoteza povu jingi na kujiapisha na kutusomesha sisi tusiojua smartness za mitaani,na kejeli kuwa yote ni majungu,kama vile kakariri maneno ya watuhumiwa wa EPA waliotajwa na Baba Slaa pale Mwembe Yanga!
Halafu katika kukua kiroho kiukweli lazima uweze kukemea dhambi za waziwazi kama hii vinginevyo basi bado uko Misri-kiroho that is!
 
Hayo yote sio kwamba hayajulikani, minaona na sisi tumtafute atufundishe jinsi ya kukwepa kodi. na huyo ni mmoja aliyeanikwa lkn most of wafanyabiashara ni lazima wakwepe kodi. tena umemtaja yeye tu yule ana wadogo zake ana binamu zake wana maduka kkoo ndio huwa wanaunganisha mzigo wanaleta kwa pamoja. so its beta tuwajoin tuchukue vyetu mapema!
 
Mkuu ndonndo nahisi wewe no Mariedo mwenyewe sorry kwa yaliyokukuta ila habri ndo hio , nawe wamekuspot. Lisemwli lipo kama halipo laja~~
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom