Yupi anajua kuuchuna?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yupi anajua kuuchuna??

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by luye25, Jun 28, 2012.

 1. l

  luye25 Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ****; Nilimpigia simu mke wangu akapokea hakusema 'hallow' nikauchuna sikuongea mpaka pesa zote zikaisha!!

  ZOBA; Niligonga mlango mke wangu akafungua hakusema karibu nikasimama palepale mlangoni mpaka kesho yake nikageiza nkaondoka!!

  ZUZU; Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenzi nimegoma kulala nae hadi leo miaka sita.

  Wote wakamwambia muongo ww mbona una watoto wawili??

  ZUZU akawajibu mpaka leo sijamuuliza watoto ni wa nani nimeuchuna tu!!!!!!
   
 2. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  hahaha,
   
Loading...