Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Hii kitu ilishajadiliwa sana humu tangu jana tena ktk threads tatu tofauti.
 
Kwani tz imeanza kurejista meli za kimataifa?
 
Rostam alishasema serikali ya Kikwete kaiweka mfukoni na wala haiwezi kumfanya kitu. Na akasema tena kuwa akikohoa tu asubui uchumi wa nchi inayumba sasa hapo unategemea Vasco Dagama atasema nn. Rostam atachangia pesa inayotakiwa kwenye bajeti badala ya nchi za ulaya. Rostam kamwingiza Vasco Dagama kwenye matatizo bila Vasco kujua. Hili linatokana na kuvua gamba sasa tuone nani zaidi. Rostam huyooo kwao Iran. Tulipokuwa tunasema Rostam ni Miran wengi walibisha sasa yametimia. Vasco Dagama ataanza safari zake za ugunduzi kwenye miamba ya Iran.
 
Iranian government supported him financially during both elections to buy t-shirt, his hands are tighted on his nuts mpaka adate this time.
 
Kenya to buy 30 million barrels a year of Iran oil despite embargo.

Source cctv news 1 hour ago

Seems Kenya is turning East.
 
is Kenya at risk of facing economic/financial sanctions from The USA and EU by buying oil from Iran ? or some double standards on this Iranian saga from the USA and EU


Nairobi, Kenya.
Monday 2 July 2012.

Kenya agrees to buy Iran oil, silent on sactions:

Kenya has agreed to import 4 million tonnes of Iranian crude oil per year, a senior Kenyan energy official said on Monday.

Patrick Nyoike, permanent secretary at the energy ministry, said the two governments signed the memorandum of understanding on the oil last month. He did not say how many years the agreement covered.

"The details will come later," Nyoike told Reuters by telephone, declining to comment on how the deal sits with U.S. and European Union (EU) sanctions against Iranian oil exports.

Most other importers of Iranian crude oil have sharply reduced purchases to earn exemptions from U.S. financial sanctions.

The European sanctions - including a ban on imports of Iranian oil by EU states and measures that make it difficult for other countries to trade with Iran - came into effect on Sunday.

Lawmakers from the U.S. House of Representatives and Senate are meanwhile working to finalise a new package of sanctions aimed at further reducing oil and other revenues used by Iran to further its nuclear program.

Nyoike said the crude would total about 30 million barrels over one year, equivalent to around 80,000 barrels per day.
Kenya's only refinery said last month it would start buying its own crude oil. It processes 1.6 million tonnes a year.
Kenya has signed similar memorandums deals before.

Under President Mwai Kibaki, the east African nation has increasingly turned to new economic partners, forging close ties with nations like China and Libya under Muammar Gaddafi's leadership.

The shift in foreign policy stance has sometimes caused unease among its traditional western allies. Kenya is a key strategic ally in the U.S. led fight against militant Islam. (Reporting by Duncan Miriri; Editing by Richard Lough and Anthony Barker)

Source: Kenya agrees to buy Iran oil, silent on sanctions*- Corporate News*|businessdailyafrica.com
 
Viwekwe hivo vikwazo ili Mh. Apunguze kuchafua Ozone layer kwa safari za kwenda kunywa chai nje na kuomba vyandarua.
 
Let them Sanction Tanzania; By the Way Kikwete love to visit USA, he will pay for that...

After all they are fighting in Zanzibar and they are the one who gave the Iranians Tanzania name so if we get

Sanctions they will not send food to the island so they will face the rythm, and to the mainland we fight also

so our Dhaifu Government will learn the lesson to work and resolved their citizen problems before it become a disease

Hiki kingereza sijakielewa ! -I'm sorry!
 
hao wazanzibar mbona wakorofi hv si wanabendera yao ss mbona wanatumia ya kwetu TANGANYIKA embu watutolee ugaid wao bana
 
Ewe Mungu saidia nchi hii huyu ****** anatupeleka pabaya!!!!sidhani kama atafika 2015 kushuhudia anguko takatifu la magamba!!!
 
WASHINGTON (Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.
Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.
 
Marekani yatishia kuiwekea vikwazo vya
kiuchumi Tanzania iwapo itaendelea
kuziachia meli za mafuta za Iran
kutumia bendera yake.

source......bbc.

Ni upepo tu litapita with time.lol
 
Swala la JK kuingia mkataba na Iran bila kuwasiliana na bunge ili waweze kutumia bendela ya Tanzania ktk meli zao za mafuta ni la KIBABE, DICTETOR NA UBINAFSI. Hili swala ni la kitaifa, kwa mtazamo wangu-sidhani ni BUSARA mtu mmoja kufanya maamuzi peke yake bila kuwasiliana na wawakilishi wa wananchi (WABUNGE). Ni wazi JK amefanya hili kwa manufaa binafsi anayo yajua yeye.

NYEPESI NYEPESI;

CCM ipo kwenye mitambo ya kupumulia kwa sasa na 2015 kwa mambo ya nyakati KITANUKA. Hivyo basi JK kuogopa CCM kupoteza hatamu (KUFA) mikononi mwake yupo tayari kufanya lolote hata kuuza nchi. Inasemekana IRAN imemuahidi kuisaidia CCM kifedha, hali na mali ili ishinde 2015....Endelea.
 
man nilisikia BBC hizo meli zilisajiliwa na serikali ya mapinduzi zanzibar !.... labda swali ungelugueza kwanini itumike bendera ya muungano na si ya zanzibar ..?!

hapo zanzbar inaamsha akili za watanganyika kwamba wao wanamamlaka ni inchi kamili! .... huu muungano unatakiwa uangaliwe kwa jicho la pili una viraka vingi sana na matundu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom