Inauma sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inauma sana!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by luye25, Jul 25, 2012.

 1. l

  luye25 Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inauma sana kuona mwanmke/mwanaume aliyekuwa mpenzi wako wa zamani ameolewa/ameoa mtu mwingine wakti ulikua unahisi ipo siku mtarudiana na kuwa pamoja milele!!!!
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  pole ndugu, yamekukuta nini? ndo maisha lakin. kubali tu kuwa ishatokea kwani hata usipokubali huwez kuibadilisha / kumbadilisha
   
 3. l

  luye25 Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha tu charminglady yamemkuta mtu wangu wangu wa karibu alikua anaona kama utani.
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Pole mku..
  ila ndo maisha hayo..

  Ina uma sana pale tunapo poteza ndugu jamaa na marafiki (Kifo)
  Inauma sana pale ajali za ajabu zinapotokea na watu kuumizwa vibaya.
  Inauma sana kuona wengi wanateseka na magojwa ya ajabu.
  Inauma sana kuona binadamu wanakufa njaa.

  Inauma sana pale unapopenda lakini hupendwi.
  Inauma sana mpenzio anapotoroka na mtu mwingi.
  Inama sana pale unaemwamini anaenda ku cheat.
  Inauma sana , tena sana, na sana zaidi..

  Ninachotaka kusema kuna vitu vingi vinaumiza maishani ..
  you just have to pull yourself up & move forward.

  Mtakie jema mwenzio na baraka zako ziko njiani ..
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,871
  Likes Received: 23,498
  Trophy Points: 280
  Mwambie azidishe juhudi za kujiweka bomba, atapata wake mwingine anayempenda.

  [​IMG]
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Unapokuwa katika mahusiano usijisahau ukadhani unaweza kummiliki mtu, yakitokea kama haya unaweza ukachanganyikiwa!
   
Loading...