Mtizamo tofauti kuhusu kipigo kwa Dr Ulimboka

gilguy

Member
Jun 20, 2012
22
4
MIMI NASHANGAA SANA WATU WANAPOTEZA MUDA WAO KUTAKA KUMUUA MTU AMBAYE NYUMA YAKE WAKO WATU KAMA MILIONI KADHAA KAMA YEYE.JE WANATAKA KUWATISHA WATANZANIA TUSIDAI HAKI ZETU?FINE.NINACHOTAKA KUWAAMBIA HAO WAHUSIKA WAKIWEZA KUNYAMAZISHA WATU 'HATA MAWE YATAONGEA.ee MWENYEZI MUNGU MPE NGUVU ULIMBOKA SHETANI APATE AIBU
 
Mungu atajiinua katikati ya Mashetani haya na atampigania Uli hakika kwa tukio hili haki za madaktari hazito nyamazishwa kwa kifo cha Uli daima na majeraha ya uli yawe chachu kuishinikiza serikali hakuna kusitisha mgomo mpaka watakapo toa majibu ni kwa nini walimteka Uli ....................Aibu kubwa hii kwa Serikali ya Tanzania
 
Wana JF

Tuwe tunajaribu kufikiri zaid ya maono yetu kwan macho siku zote upoteza uwezo wa kufikiri zaidi,kwa mtazamo wangu napata picha ya watu wenye kuuguliwa sana na ndugu zao wameamua kumpa somo Dr. Ulimboka kuwa kuongoza kwake mgomo kunawapa watu maumivu na vifo, hivyo basi nae aonje joto la jiwe ile asiongoze mgomo tena dhidi ya uhai wa binadamu kwa maslai yake..

NAWASILISHA WANA JF,NI MTAZAMO TU.
 
Ni mawazo yako!
wakajikusanya na kumteka na kumpa kichapo
Wanaumoja kweli hawa ndugu wa wagonjwa .

Sasa ndugu zao watapona.
 
Huu kweli ni umoja wa hali ya juu! Hadi silaha wanazo? Du, sijui umoja huu unaitwaje?
 
wamejitahidi njia zote imeshindikana, hebu we utueleze ulitaka wadai haki zao kwa njia ipi?
 
Asante ndugu mwanzisha thread.
Hao wanaotukana na ushasema ni msimamo wako sijui kama na wao wana akili!
Kweli JF ni msafara wa mamba na kenge na mijusi nao hujidhania ni mamba! "sinkers' nao hujiona ni 'thinkers" lol
 
plan zenu zote zinafeli,hata hili unalojaribu kutuaminisha limefel,nenda ujipange kisha urudi tena
 
Safi hii nimeipenda na tuwatafute madokta wote tuwape kichapo cha mbwa koko wasirudie tena kugoma nyambafff zao wananiuzi sana na migomo yao kama ya wanafunzi tuwachape tuwachape tuwachapeeeeeee
 
Sio kosa lako! Ni akili yako dhaifu.
 
Naona ndugu yangu hauelewi kwa nini madaktari wanagoma..sio tu kwa sababu wanataka posho ebu angalia mazingira ya hospitali zetu.unaenda hosp kupima maleria hata spirit ya kukufutia ili watoe damu hawana..glooves hamna,wajawazito wanalala chini,vifaa vya kujifungulia hamna.tatizo ni dr ulimboka au serikali???
 
mimi ni mhanga wa huduma mbovu hospitali kama serikali inataka kumuua uly ikumbuke kuna nguvu ya umma.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom